Ccm ichaguliwe tanzania kwani ni kati ya vyama makini afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm ichaguliwe tanzania kwani ni kati ya vyama makini afrika

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by dadakuona, Sep 10, 2010.

 1. d

  dadakuona Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utafiti uliofanyika hivi karibuni ulibaini kwamba katika vyama vitano makini Afrika CCM ni Namba moja vingini ni: Frelimo (Msumbiji), MPLA (Angola), ANC (Afrika Kusini) na chama cha ukombozi Namibia. Katika utafiti huo ambapo iliangaliwa vigezo mbalimbali ikiwa pamoja na imani ya wananchi juu ya chama husika, uwezo wa chama husika kuwa na Serikali yenye kujali masalahi ya wanyonge, kuangalia maendeleo ya wananchi, kudhibiti migongano ya kidini na kikabila, kuwafikia watu wa( periferral) vijijini katika kupeleka huduma za jamii kama shule, zahanati n.k

  Kwa kweli ndugu zangu nilifarijika kuona kuwa nchi yetu ni kati ya (Stars) nyota katika nyanja ya uongozi barani Afrika na Duniani, tuchague CCM peleka kura kwa JK. Slaa (Chadema) 2099, Lipumba (CUF) 2115

  CHAGUA CCM KWA TANZANIA SALAMA
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Utafiti upi na uliofanywa na nani na lini?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  KATIBA YA KIKUNDI CHA "MWINGAza" CHA WANAWAKE WA MKOA WA NJOLUMA (WANAOISHI SINGIDA).


  UTANGULIZI.

  Kikundi hiki ni cha wanawake wanaotoka Mkoa wa NJOLUMA, au walioolewa na wanaume wa Mkoa Wa NJOLUMA wa kabila la WAKINGA

  Kikundi hiki kina wanachama hai 18 mpaka April 2010.

  Kikundi hiki kinajulikana kwa jina la MWINGA WOMEN GROUP-SINGIDA.
  Jina hili litatumika kwa maslahi ya kikundi na kwa ridhaa ya wanakikundi.

  Vikao vyote vya kikundi hiki vitaanza kwa maombi na kuisha kwa maombi.

  Katiba hii ni hai, hivyo inakua. Kwa maana hiyo inaweza kuongezwa vifungu, kupunguzwa au kubadilishwa.

  SEHEMU YA KWANZA.
  1. MALENGO, MADHUMUNI NASHUGHULI ZA KIKUNDI.
  1.1 .MALENGO.
  Kukaa kwa pamoja kupanga na kubuni namna ya kusaidiana na kukuza uchumi wa wanawake wa kikundi hiki.

  1.2 MADHUMUNI.
  (a)Kuwa na kikundi kisichozidi wakinamama 20
  (b)Kusaidiana katika shida na raha.
  (c)Kutafuta namna ya kuongeza kipato kwa wanakikundi.
   
 4. k

  kakakuonap Member

  #4
  Sep 10, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wee DINGISWAYO unataka majibu ya utafiti upi? kWA Kukusaidia soma hata tafiti za Redet juu ya vyama vya ukombozi vilivyobaki madarakani Afrika.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  The Traitor's Destruction (Group)

  Level 21GhostlandsObtained at level 15Horde Slay Dar'Khan Drathir inside Deatholme and bring his head to Magister Kaendris at the Sanctum of the Sun in the Ghostlands.Dar'Khan's Head: 0/1Dar'Khan's Head: 0/1Everything we've done in the Ghostlands has been done with the goal of taking back what is rightfully ours. The Scourge have maintained their chokehold on the region for far too long.

  The time has come for payback, <name>. Thanks to your help and the help of our new allies, the Forsaken, vengeance will soon be ours.

  He who sought to steal the power of the Sunwell must die. Go to Deatholme, the Scourge stronghold south of the Dead Scar. Bring me Dar'Khan's head and your deeds will go down in history! Is it done, then? Has Dar'Khan been destroyed? Today you've dealt a deadly blow to the Scourge's grasp in the region.

  With the vile traitor gone, it shall not be long before we've reclaimed our lands and our greatness is restored once again.Rewards

  [​IMG]Staff of the Sun or [​IMG]Farstrider's Longbow or [​IMG]Dawnblade or [​IMG]Sin'dorei Warblade
  40 Silver
  250-3000 XP
  Tranquillien +8000
  Starts and Ends at:

  Magister Kaendris
  GhostlandsThis quest is part of a series:

  Step 1:The Farstrider Enclave
  [Level 16]
  Step 2:The Traitor's Shadow
  [Level 16]
  Step 3:Hints of the Past
  [Level 16]
  Step 4:Report to Magister Kaendris
  [Level 16]
  Step 5:The Twin Ziggurats
  [Level 17]
  Step 6:The Traitor's Destruction
  [Level 21]
   
 7. Profesy

  Profesy Verified User

  #7
  Sep 10, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Angalia details za huyu jamaa - CCM infiltrator
  Junior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join Date Sat Sep 2010
  Posts4
  Thanks : 0Thanked 0
  Times in 0
  Posts 1
  Rep Power 0

  :mad2:
   
 8. Profesy

  Profesy Verified User

  #8
  Sep 10, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii nini tena?
   
 9. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Ndiyo ccm ni makini. Lakini umakini wake siyo inteligent bali cunny.
   
 10. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Kama ilivyokuwa katika thread yako ya kilimo tupatie source ya utafiti wako, hapa hadanganyiki mtu.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 12. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hii nayo kali
   
Loading...