CCM huniacha hoi sana!

Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,362
2,000
Kwanza, Kamati Kuu ilikutana Dodoma chini ya Uenyekiti wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Kikao kilifanyika chini ya Mwenyekiti huyo huyo na ajenda zote hujadiliwa. Mwisho mwishoni maazimio au maamuzi kufikiwa. Halafu Katibu wa Itikadi na Uenezi akautangazia umma juu ya maamuzi hayo.

Pili, Kamati Kuu hiyo hiyo (inayoongozwa na Rais) ikapendekeza kwa Rais kuwapumzisha baadhi ya Mawaziri katika Serikali yake. Mawaziri hao wamepachikwa jina la 'Mawaziri Mizigo'. Kama yeyote anaangalia kwa mkini hapa, atagundua kuwa kuna mkangantiko. Yaani, hata Mwenyekiti amejipendekezea mwenyewe!?

Kwa kuongezea, ajenda za Kikao cha Kamati Kuu zilishajulikana kabla ya Kikao chenyewe. Mojawapo ilikuwa ni ya Mawaziri husika (nahisi hivyo tu). Si ingetosha Rais kuwasikiliza Washauri wake wa Ikulu-hasa wa mambo ya siasa na kuchukua hatua?

Haya mambo ya kujipigia pasi mimi binafsi huniacha hoi sana. Rais ndiye mwenye mamlaka juu ya Mawaziri. Akitaka kuteua na kutoa anaweza kufanya hivyo sekunde yoyote. Haitaji Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kufanya hivyo. Rais pekee ni taasisi.

Au ndiyo kutuainisha kuwa Kamati Kuu inafanya kazi za kuidhibiti Serikali ipasavyo? Siasa bwana....
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,112
2,000
Pamoja na mapungufu yote ya mchakato husika. Naunga Mkono uwepo wa mchakato huo ama sivyo basis zetu za kuilamu CCM zinakuwa hazina mashiko.
 
kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
3,901
2,000
Kwanza, Kamati Kuu ilikutana Dodoma chini ya Uenyekiti wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Kikao kilifanyika chini ya Mwenyekiti huyo huyo na ajenda zote hujadiliwa. Mwisho mwishoni maazimio au maamuzi kufikiwa. Halafu Katibu wa Itikadi na Uenezi akautangazia umma juu ya maamuzi hayo.

Pili, Kamati Kuu hiyo hiyo (inayoongozwa na Rais) ikapendekeza kwa Rais kuwapumzisha baadhi ya Mawaziri katika Serikali yake. Mawaziri hao wamepachikwa jina la 'Mawaziri Mizigo'. Kama yeyote anaangalia kwa mkini hapa, atagundua kuwa kuna mkangantiko. Yaani, hata Mwenyekiti amejipendekezea mwenyewe!?

Kwa kuongezea, ajenda za Kikao cha Kamati Kuu zilishajulikana kabla ya Kikao chenyewe. Mojawapo ilikuwa ni ya Mawaziri husika (nahisi hivyo tu). Si ingetosha Rais kuwasikiliza Washauri wake wa Ikulu-hasa wa mambo ya siasa na kuchukua hatua?

Haya mambo ya kujipigia pasi mimi binafsi huniacha hoi sana. Rais ndiye mwenye mamlaka juu ya Mawaziri. Akitaka kuteua na kutoa anaweza kufanya hivyo sekunde yoyote. Haitaji Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kufanya hivyo. Rais pekee ni taasisi.

Au ndiyo kutuainisha kuwa Kamati Kuu inafanya kazi za kuidhibiti Serikali ipasavyo? Siasa bwana....
mkuu mselewa hizo ni kampeni tu hawana lolote,R.I.H mabina
 
hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,909

[h=2]DR. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria[/h]
Saturday, 14 December 2013 ·

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroad Slaa, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini alisema kama gongo itatengenezwa kwa mitambo maalum itaondoa mianya ya rushwa kwa polisi ambao wamekuwa wakiwakamata wanaotengeneza kwa kificho na kuwafanya vitega uchumi vyao.

"Gongo sasa hivi ni haramu sababu inatengenezwa kwa kificho katika mazingira machafu, tukishika dola tutataka SIDO itengeneze mitambo ya kutengeneza gongo ili iwe katika hali ya usafi," alisema.

Mitambo hiyo itakayotengenezwa na SIDO itakapouzwa itaiingizia mapato serikali pia wauzaji wa gongo watafanya biashara hiyo kwa amani tofauti na sasa ambapo wanaifanya kwa kificho na wakikamatwa fedha zote wananufaika polisi.

Dk. Slaa alisema hata suala la kukamata watu wanaotengeneza silaha linapaswa kuangaliwa upya kwani wanaokamatwa wakifanya kazi hiyo wangekuwa wanashikiliwa kwa muda na baadaye wanapelekwa katika kiwanda cha serikali cha kutengenezea silaha ili watuhumiwa hao wapeleke ujuzi huo huko badala ya kuwafunga jela.

Dk. Slaa alisema matatizo yote yanatokana na wasomi kutofikiri namna ya kuisogea nchi mbele kimaendeleo.

"Nchi hii imelala, imechoka sababu waliopewa madaraka wamelala, wamejisahau hawatambui kuwa wamepewa nafasi hizo ili kuwatumikia wananchi," alisema.

CHANZO: NIPASHE​

mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
kwa sababu hujui chama kinafanyaje kazi ndiyo maana kinakuacha hoi kwa mtazamo huo ulionao utaendelea kubaki hoi sana.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
Kwanza, Kamati Kuu ilikutana Dodoma chini ya Uenyekiti wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Kikao kilifanyika chini ya Mwenyekiti huyo huyo na ajenda zote hujadiliwa. Mwisho mwishoni maazimio au maamuzi kufikiwa. Halafu Katibu wa Itikadi na Uenezi akautangazia umma juu ya maamuzi hayo.

Pili, Kamati Kuu hiyo hiyo (inayoongozwa na Rais) ikapendekeza kwa Rais kuwapumzisha baadhi ya Mawaziri katika Serikali yake. Mawaziri hao wamepachikwa jina la 'Mawaziri Mizigo'. Kama yeyote anaangalia kwa mkini hapa, atagundua kuwa kuna mkangantiko. Yaani, hata Mwenyekiti amejipendekezea mwenyewe!?

Kwa kuongezea, ajenda za Kikao cha Kamati Kuu zilishajulikana kabla ya Kikao chenyewe. Mojawapo ilikuwa ni ya Mawaziri husika (nahisi hivyo tu). Si ingetosha Rais kuwasikiliza Washauri wake wa Ikulu-hasa wa mambo ya siasa na kuchukua hatua?

Haya mambo ya kujipigia pasi mimi binafsi huniacha hoi sana. Rais ndiye mwenye mamlaka juu ya Mawaziri. Akitaka kuteua na kutoa anaweza kufanya hivyo sekunde yoyote. Haitaji Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kufanya hivyo. Rais pekee ni taasisi.

Au ndiyo kutuainisha kuwa Kamati Kuu inafanya kazi za kuidhibiti Serikali ipasavyo? Siasa bwana....
kwa tarifa yako chama chako kimetangaza kuanza rasmi kutengeneza gongo kama kitaingia madaraka wewe na chadema yako utabaki hoi sana.
 
Kijana leo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
2,866
1,225
nakumbuka hoja ya mawaziri mizigo ilikuwa ya upinzani, walisema sana. ila siku hizi ccm wanaitumia lakini mwanzoni walitoa maneno ya kejeli kwa upinzani. siasa bwana kama uji kwa mtoto ukipoa mtu mzima unywa.
 
Anko Sam

JF-Expert Member
Jun 30, 2010
3,206
1,195
Hata mie hua mnaniacha hoi balaaa
Anakuacha hoi kwa lipi? Je unajua historia ya kiwanda cha konyagi? Unashangaaa nini wakati nchi zingine zimeruhusu bhangi na madawa ya kulevya kutumika? Je unajuwa nchi za watu wenye akili hutumia wahalifu kugundua mbinu za kuzuia uhalifu?

Think out of the box na utazame Taifa kama ni jamii yenye watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri! Fikiri kama binadamu huru usitegemee mwana CCm afikiri kwa ajili yako!
 
Top Bottom