CCM hiyo ni ishara ya nchi nzima siyo Mara(Musoma) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM hiyo ni ishara ya nchi nzima siyo Mara(Musoma)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, May 19, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,256
  Trophy Points: 280
  Kwakitendo kilichofanyika Mara hiyo ni ishara ya kuichoka CCM hivyo Nape anayokazi kubwa labda uanze kuwapa pesa watanzania kwani ndilo tatizo la msingi!!Hiyo ni endiketa kwa mkoa mzima mjipange Nguvu ya umma inakuja CCM siyo chaghuo la wana mara hizo ndiyo salamu zangu!
   
 2. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  igweeeeeeeeeeee nimekusoma wape mambo
   
 3. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watakupuuza tu
   
 4. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  saa ya ukombozi yaja kwa spidi.........
   
 5. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna lililo na Mwanzo lisiwe na Mwisho

  Hii ni moja ya siri ya jinsi mambo yanavyokwenda hapa duniani, wale wanaopenda Ukweli Mwenyezi
  Mungu huwapa Hekima Wakati wote kuepukana na Madhara ya Mwisho wa dhama au Maisha.

  Hao kwa sababu ya kujua kila kitu kina Mwisho hujiandaa na ukubali bila kipingamizi Mwisho unapofikia,
  Hawaumii sababu tayari watakuwa na hekima ya nini cha kufanya, au tayari watakuwa wamekwishatumia
  hekima kujiandaa na Maisha Mapya.

  CCM Imefikia Mwisho, kila mtu anaona, hata watoto wadogo, ila wao pekee, wanaelekea shimoni,
  lakini sababu hawapendi kweli, wanapingana na forces of nature, Madhara yao yatakuwa makubwa
  zaidi, sababu wanaenda kama vipofu, watajigonga ukutani kwa nguvu sana, wataumia sana CCM

  Hata Mungu ameishaahidi kwamba, ataziondoa zote, Dunia na Mbingu kwa pamoja zisiwepo tena.
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,256
  Trophy Points: 280
  Sema umepuuzwa wewe na magamba yenu!
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  CCM sikio la kufa, nchi ishatembea hii!
   
 8. O

  Oikos Senior Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nasikia raha jinsi Watanzania wanavyofumbuka macho sasa!! Songa mbele wananchi, mabadiliko ni muhimu!!! Hongera wana Mara...
   
Loading...