CCM hili la Jangwani ni kosa la kiufundi

Jana CCM mlieenda Jangwani na nyie mkatoa yenu.

Sii siri move hii ililenga kujibu mapigo ya Chadema ambao walitinga hapo Jangwani na M4C.

Wanavyosema wajuzi wa kabumbu wanasema katika makosa timu inaweza kufanya
ni kukubali kuiga mchezo wa mwenzako ukiwa unacheza naye iwe ni pasi ndefu, fupi,
mchezo wa kasi, polepole au mipira ya juu n.k.

Sababu ni wazi kuwa wewe utajikuta mgeni katika kuutumia kikamilifu ile style.
Haya ndiyo yalityowakuta CCM jana Jangwani.

USHAURI: CCM kuweni wabunifu msiingie mtego wa kufuata kila wanachokifanya CHADEMA.
Si lazima wakisema Vua Gamba, Vaa Gwanda na wewe Useme Vua Gwanda, Vaa uzalendo
Kesho wakianza maandamano nanyi mtakaandamana?

Kitu kikubwa kilichowashinda kuiga kutoka CDM ni kwa wafuasi wao kwenda mkutanoni wenyewe bila kusombwa na malori/mabasi.
 
Kwani lengo la Mkutano wa CCM lilikuwa nini?? Siku moja ukimwona Baba amemwona mtoto wake anachezea kamdoli na yeye akaenda kununua mdoli wake naye akaanza kucheza nako hapo pembeni ujue kabisa huyo baba, ubaba wake umekwisha. CCM si chama cha kuiga mambo wanayofanya Vyama vingine??? BASI wametuthibitishia watu wote na Dunia kwamba wameanguka 150%. Shauri Yaooooo.. M4C FOREVER FORWARD!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom