CCM hiki ni kisasi Kawe au?

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Messages
1,520
Likes
45
Points
145

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2010
1,520 45 145
Siku chache baada ya Uchaguzi kumalizika na sisi wana Kawe kumchagua Mbunge wetu Halima MDEE, Dawasco wameamua kutukomoa kwa kutukatia maji mfululizo.

Sio kawaida huku kwetu maji kukatika kiasi hiki hasa siku mfululizo bila taarifa lakini hii imekuwa sasa kama tunakomolewa, maji yanaweza kutoka kwa robo saa tu yanakatwa tena, hiki ni nini jamani CCM?

Dawasco mkumbuke hata mkiendelea kutukatia maji ndo mnazidisha chuki kwetu wana Kawe juu ya Serikali yetu na hakika chuki inaongezeka ipo siku mtaiona dhahiri machoni penu. Mlaaniwe nyie na CCM yenu mnayoisujudia!!!
 

Forum statistics

Threads 1,203,210
Members 456,663
Posts 28,104,669