CCM hebu sasa acheni wizi oneni aibu, inatosha kuiba

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
ESCROW tsh 321bn
EPA tsh 133bn
CIS tsh tsh 200bn
RADA tsh 70bn
MEREMETA tsh 205.9bn
RICHMOND tsh 260bn+
Majengo pacha BOT tsh 600bn
Deep Green Finance tsh 10bn
Hati fungani US$600M
Ununuzi mabehewa Mabovu tsh 230bn

If you think the worst was over, think again, kuna UPOTEVU wa trilioni 1.5 (yaani imepangwa kwenye bajeti, halafu hazijulikani zilipo) kwa mwaka mmoja pekee katika awamu hii ya tano. Pesa zimepeperushwa na upepo. CAG ametueleza.

Aisee... CCM mtupumzishe..hizi ni pesa, sio nyasi arifuu.. Mmetunyonya "vile vyenye inatosha"..., wazungu hao sio wezi.., ninyi ndio zaidi ya wizi wenyewe.., huo wote ni sehemu ufisadi chini ya utawala wenu...

[HASHTAG]#MMM[/HASHTAG]
 
Chadema wamepokea Mkopo hewa wa 2 billion

Wametengeneza Mabango ya 800 million wakati hawana Ofisi za kueleweka!

Hapo ndio mme behave hamjapewa Nchi mkipewa itakuaje?
Je endapo mtoa mada ni mtu asie na chama, utetezi wako upoje?
 
Chadema wamepokea Mkopo hewa wa 2 billion

Wametengeneza Mabango ya 800 million wakati hawana Ofisi za kueleweka!

Hapo ndio mme behave hamjapewa Nchi mkipewa itakuaje?
Forget about 2bil,
Hapa tunazungumzia wizi wa Trillions,
 
Chadema wamepokea Mkopo hewa wa 2 billion

Wametengeneza Mabango ya 800 million wakati hawana Ofisi za kueleweka!

Hapo ndio mme behave hamjapewa Nchi mkipewa itakuaje?
Hizi pumba ambazo hata kuku wa kienyeji anezidharau na hawezi kuzila aslan na bora alale na njaa kutakucha tu! Hoja ya cdm kukopa haina mashiko kwani haikukopa kwenye taasisi bali kwa watu binafsi na haifanani hata kidogo na kodi zetu zilzochotwa na sio kukopwa na ccm na kuzipeleka wasikoelekezwa na bunge ndiyo uijibie!
 
3e0906ab87b9a59db3ba883f129ffdaf.jpg
 
Hizi pumba ambazo hata kuku wa kienyeji anezidharau na hawezi kuzila aslan na bora alale na njaa kutakucha tu! Hoja ya cdm kukopa haina mashiko kwani haikukopa kwenye taasisi bali kwa watu binafsi na haifanani hata kidogo na kodi zetu zilzochotwa na sio kukopwa na ccm na kuzipeleka wasikoelekezwa na bunge ndiyo uijibie!
Tatizo lako akili yako ndogo ndio sababu hujui hapo hela za Umma zimepigwaje

Mtu anaonekana kaikopesha Chadema lakin hakuna kwenye Account pesa iliyoingia Kama Mkopo wala hakuna Mkataba Halafu Mamilion ya Ruzuku kutoka Serikalini zikiingia wanajifanya kumrudishia Eti wanarejesha Mkopo wakati hakuna Mkopo zaid ya Gumashi Halafu Wewe Kichwa Ice cream unasema hakuna pesa ya Umma imepigwa
 
Sikushangai hata kidogo kwani hata mwalimu wako alipata shida sana kukufundisha! Hilo para lako bora lingekuwa chungwa tukachezea chandimu! Yaani kwako pesa za mkopo ni sawa na hizo mlizojichotea! Na bilioni mbili zinazidi trillion 1.5 plus bilion12. Unatetea ujuha huku ukishindia kipande cha mhogo na maji ya kandoro! Kwenu kuhubiri ni tofauti na kutenda mnayoyahubiri.
 
Tukihoji mbona ripoti ya CAG inaupotevu mkubwa wa fedha za umma? Jibu lao hata chadema wamepata hati chafu. Wanasahau ruzuku za vyama si za kununulia dawa, kutuletea maji safi wala kujenga miundo mbinu, Lakini hizo Trillion zilizo yeyuka ndio ilikuwa kazi yake.Tuendelee kuhojiana!
 
Back
Top Bottom