Ccm hawaoni mwisho wao.........!!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm hawaoni mwisho wao.........!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Muke Ya Muzungu, Nov 1, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mkikumbuka Iraq Ilipovamiwa, waziri wa habari wa Iraq alikana kabisa akisema kwamba
  There are no American infidels in Baghdad. Never!"
  "My feelings - as usual - we will slaughter them all"
  "Our initial assessment is that they will all die"
  "God will roast their stomachs in hell at the hands of Iraqis."

  Wakina JKwa ulikweli, Malaria Sugu nk. ndo wale wale, wanatangaza matokeo CCM kushinda wao wanatangaza, 80-85% victory, jamani akili hiko wapi, hawa wamelewa na madaraka na kuchanganyikiwa. Hawaamini kabisa, lakini habari ndo hiyo, CCM wanahaha
   
Loading...