CCM hawajalaani uvamizi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar

CCM wanaunga mkono ubashite wooote unaofanyika
4c6615834bd6a83ce749fedad276a4a5.jpg
 
Habari wana Jf
Katika hali inayoonyesha kuwa chama cha mapinduzi kuunga mkono ukandamizaji wa media.
Imeamua kukaa kimya, kama vile hakuna lolote lililotokea.

Je, hii inammanisha chama kwa sasa hakina uwezo wa kukemea uhalifu? au nini kinacho endelea?
ikiwa mwenyekiti wa chama anatetea uhalifu kwa kuuita "habari za mitandaoni" sidhani kama chama chake kinaweza kukemea UJAMBAZI huu!!!
 
Habari wana Jf
Katika hali inayoonyesha kuwa chama cha mapinduzi kuunga mkono ukandamizaji wa media.
Imeamua kukaa kimya, kama vile hakuna lolote lililotokea.

Je, hii inammanisha chama kwa sasa hakina uwezo wa kukemea uhalifu? au nini kinacho endelea?

Nilifikiri Wabunge wa CCM wako upande wa chadema, sasa lawama za nini tena?
 
Habari wana Jf
Katika hali inayoonyesha kuwa chama cha mapinduzi kuunga mkono ukandamizaji wa media.
Imeamua kukaa kimya, kama vile hakuna lolote lililotokea.

Je, hii inammanisha chama kwa sasa hakina uwezo wa kukemea uhalifu? au nini kinacho endelea?
Wao ndio waliomtuma afanye ule uzumbukuku sasa watamkeaje sasa???
 
Habari wana JF,

Katika hali inayoonyesha kuwa Chama Cha Mapinduzi kuunga mkono ukandamizaji wa media. Imeamua kukaa kimya, kama vile hakuna lolote lililotokea. Je, hii inammanisha chama kwa sasa hakina uwezo wa kukemea uhalifu? Au nini kinacho endelea?
Ni lini uliwahi kuona chama hicho kikikemea UKOLONI MAMBOLEO unaotokana na MKOLONI MWEUSI?Ukiwa ndani ya lichama lao wewe ni msafi hata bila kutawaza.Angalia hata mawaziri na viongozi wengine ndani ya chama lao hawakubaliani na alichokifanya prince.Utashangaa wako kimyaaa ila ikitoke MFALME KUMUWAJIBISHA MWANAMFALME haaaa utasikia wakimpongeza kwa hatua ya kumuondoa ng'ombe alieyekatwa mkia huku wakisema hatua hiyo imekuja muda muafaka yaani.Sasa tuu atolewe nje ata ajashuka ngazi utasikia zogo lake huko nyuma ooh alikuwa anakichafua chama,ooh amekidhalilisha..MNAFIKI ni mmbaya kuliko mchawi take it from me!
 
Waanzie wapi?
Kwamba Uvccm waingilie ujinga wenu. Watanzania hatuna tatizo na Makonda kwani vita yake ni vita yetu na ushindi wake ni ushindi wetu. Tatizo letu ni wauza unga na ndo tunaowatafuta katika hii vita, Makonda ni mpambanaji mwenzetu
 
Habari wana JF,

Katika hali inayoonyesha kuwa Chama Cha Mapinduzi kuunga mkono ukandamizaji wa media. Imeamua kukaa kimya, kama vile hakuna lolote lililotokea. Je, hii inammanisha chama kwa sasa hakina uwezo wa kukemea uhalifu? Au nini kinacho endelea?
kwani nape wa chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?????????????????????
 
Back
Top Bottom