Elections 2010 CCM hawajachakachua, WAMESUKUTUA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,736
155,419
Kuchakachua ni kuchanganya chema na haramu lakini KUSUKUTUA ni kuweka chema ndani (mdomoni) na kukigeuza kuwa takataka.
Hicho ndicho ambacho CCM wamekifanya, hawajachakachua ila wameukutua.
Habari ndio hiyo.
 
Mi nadhani ni kwa wizi wa kura.
CCM haijatenda haki hata kidogo.
Ona contradiction ya majimbo ya Geita.
Hii ni aibu kubwa kwa Tume ya Uchaguzi na imeujulisha umma miongoni mwa mbinu ambazo imetumia kuiba kura.
 
hii nec ya chama cha kupindua ina tuzingua, nahayo matokeo ya chuku chuku si wayatangaze tu!! tumesha jua mshindi ninani wanaendelea kutupigia kelele tu!!!!!1
 
NEC wako tayari kuonekana na aibu, wala hawajali. Nchi hii watu wamechanganyikiwa na ufisadi kila mtu fisadi. Mimi nawewe ndo kidogo tunaonekana wazalendo lakini wengine its crazy all over the country. Watu wanaonewa kama nini, lakini tufanyeje?
 
my dear dictator, unakumbuka tulijifunza 'errors and mistakes'
yawezekana kweli wamechakachua, lakini kwa geita na nyang'wale, mi human errors tu sio kitu. let us be considerate a bit. thanks
 
Back
Top Bottom