MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kwakweli baada ya kufuatilia mijadala inayoendelea ndani ya CCM kufuata ripoti mbili za mchanga wa Makanikia na Madini kwa ujumla, kwa mwenye akili ataelewa kua hichi chama kikongwe kimeishiwa hoja, kimekosa dira kipo kipo tu kimabaki fuata upepo tu mwenyekiti atasema nini.
Wapo waliosubiri ripoti ya pili kwa hamu wakidhani kina Tundu LISSU watatajwa kuhongwa na Makampuni ya ACCACIA kama walivyisingiziwa Gwajima na Mbowe na blaa blaa za Bashite kuhusu unga. Watu wa aina hili ni wa hivyo kabisa, yaani mtu badala ya kufikiria zaidi kuhusu taifa yeye anasubiri kusikia Tundu Lissu kahingwa mabilioni na ACCACIA?Hopeless kabisa.Maskini watu hawa hawakumwelewa Tundu Lissu anamaanisha nini!
Hawajui kwa kiasi kikubwa Ripoti ya jana na Maneno ya Mh Rais hayakuenda mbali na matarajio ya kina Tundu LISSU, hawaelewi ni kwanini wapinzani baada ya ripoti ya jana wengi hawakuongea kwa sababu zipi!
Wapinzani kwa sasa wao hawana shida na ripoti ya pili, Lakini wahusika Kina Change,Ngeleja,Kikwete,Mkapa, Msabaha,Karamangi,Mwanyika,Yona,Kafumu, Dr Medard Kalemani ambaye ni naibu waziri wa wizara ya nishati na madini na wengineo waliohusika na mikataba mibovu watashughulikiwa? Ni nani atakayethubutu huyo?
Fujo zitaanza pale ile mahakama ya Mafisadi/Wahujumu uchimi itakapokosa kesi na hawa watu wanapumua uraiani, Wapinzani hapa ndipo wanaposubiri kwa hamu! Wanasuburi ujasiri wa JPM kuwawajibisha watuhumiwa hawa.
Kama Rais anaweza kuamuru bunge kukaa na kujadili mikataba ya madini na ikiwezekana muda uongezewe basi aruhusu pia na amendments kwenye sheria inayozuia marais wastaafu kushtakiwa mahakamani, hili suala linatakiwa kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo ili kuliweka taifa salama. Maana hawa watuhumiwa wote wajifichia kwenye miavuli ya Marais wastaafu na hawataguswa kamwe, believe me.
CCM badilikeni, kuweni na mawazo kulingana na ukongwe wa chama chenu.