Ccm hatutaki majibu rahisi kwa maswali magumu!!!!jifunzeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm hatutaki majibu rahisi kwa maswali magumu!!!!jifunzeni.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Mar 16, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Tunaomba CCM wawambie wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Nilini makao makuu ya Nchi ya tahamia Dodoma??Na kama huo mpango ulishakufa basi wawambie wananchi ili wizara zilizopo Dodoma Zirudi Dar eS Salaam ili gharama za uendeshaji zipungue!Na CCM wawambie wananchi Wa meweka mipango gani ya kuakikisha majanga na vimbunga vya baharini vikitokea IKULU na Rais wetu Hapati matatizo?
   
Loading...