CCM hatuna hoja za kumjibu Tundu Lissu, tunakwamishwa na watendaji wa Serikali

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,099
Wanabodi,Kila binadamu ana mapungufu yake ambayo wewe mwenyewe huwezi kujiona bali wanaokuangalia ndio wenye majibu sahihi juu yako.

Watendaji wa serikali ndio wanaotuangusha chama cha mapinduzi sana,Hawa watendaji wengi hawana elimu ya siasa wao wanafikiria familia na kulinda mishahara yao tu.

Kosa la kwanza,Wakati wa hali tata na katikati ya mapambano,Wanaibuka na kukoleza kutajwa tajwa kwa Tundu Lisu na wananchi,Kukataza matangazo ya BBC,VOA na DW kulikofanywa na waziri Mwakyembe na TCRA kuna jenga chuki kwa wananchi kwa ccm bila sababu za msingi ,Inapelekea lissu kushangiliwa huko Kahama kwa kuwa anatembelea mapungufu ya watendaji kuwa wananchi hamtaona BBC wala DW au VOA.Kuwa kutoonekana BBC, DW na Voa ccm ndio wamefanya hilo na wananchi limewaingia na kushangilia

Kosa la pili,Television ya Taifa yaani TBC sijaelewa kwanini mtendaji wake bado yupo ofisi anatengeneza chuki kwa CCM kuwa wanaogopa hoja za upinzani na wanaficha maovu,Hili ni kosa kubwa sana kimkakati kwa chama ,Ni pyschology ya kawaida hata Nyumbani Baba anapojisifia yeye tu kuwa anawasaidia watoto,Watoto baadae wakigundua ukweli familia nyingi Mababa wanadharaulika sana,Yapasa awe na asilimia katika kuonyesha mambo sio kila siku upande wa ccm tu.Leo hii watu wanadharau television ya Taifa na kuita Tbc ccm, Kila kitu kwenye Tbc wananchi wanachukulia ni uwongo na propaganda, Kuna mambo yamefanyika kweli lakini kuonyesha upande mmoja watu wanasema ni picha za kuchorwa kweli?

Kosa la tatu, Matamko ya Jeshi la polisi hasa watendaji wa juu kwenye mambo ya siasa yanafanya watu kuamini chama cha CCM hakishindi kihalali maeneo mengine bali kwa kubebwa na polisi,Wakati kuna maeneo ccm inashinda kwa uhalali kabisa hata wapinzani wanakubali matokeo.

Ni rahisi sana kuzijibu hoja za Tundu Lissu kisomi majukwaani kama watendaji wa serikali wangetambua chama kinachotawala kinahitaji hoja zenye mashiko.

Hoja za Tundu Lissu sio nyingi sana ,Kama wakati ule hoja za Dkt Slaa zilikuwa zikijibiwa na Nape Nnauye kwa ustadi mkubwa na vijembe vya hapa na pale kwanini leo?

Mosi,Hoja ya uhuru wa habari na kuongea,Hapa TBC na ndugu Mwakyembe walipasa kuwa wajanja wanaonyesha sehemu za mikutano ya Tundu Lisu halafu wanapigilia nondo zao kwa kuonyesha taarifa za Magufuli kuziba mabonde,Bila hivyo watu wanatafuta habari za Tundu lisu kinguvu.

Pili,Hoja za Malalamiko za wafanyakazi , wafanyabiashara na wakulima hapa watendaji walipaswa kuonyesha kitu gani kimefanyika kisheria,Mapungufu walioyaona kwa miaka mitano,Na nini matarajio ,Bora kukili mapungufu na kuahidi kuboresha,Kutokuongelea hili Tundu Lisu anazidi kutembelea udhaifu huu.

Hoja ya upendeleo wa mkoa wa Geita hasa chato ni suala rahisi sana kulijibu ,lakini kitendo cha kuuliza chato ni wapi sio jibu ya hoja hii,Hapa watendaji walipaswa kueleza sababu za kwanini wameweka mbuga au uwanja chato na sababu zipo nyingi za kushawishi Raia wa Mwanza ,Mbeya au Dar es Salaam,Kujibu kirahisi kunazidi kumpa sifa Tundu Lisu.

Chama cha mapinduzi kisiwaonea haya hawa watendaji wa serikali wanaotafuta sifa huku wakiharibu sifa na upendo wa chama kwa wananchi.
Watendaji ndio wasimamizi wa hii miradi na utendaji wa serikali kila siku ndio wa kujibu hizi hoja sio kukimbilia kuzuia hoja na kuzidi kumpa umaarufu Tundu lisu mbele ya wananchi

Watendaji wa serikali huu ulikuwa ndio muda wa kwenda Tbc kufanya mdahalo na watu wa upinzani kwa kuelezea mmejenga shule, Hospital na mm jifunza kitu gani na kitu gani kimebaki kwa miaka mitano ijayo sio kuelezea mafanikio tu wakati kuna mambo dhahiri hayajakamilika kwenye shule au hospital

Mfano mzuri na ambao utadumu,Ni kitendo cha kuwaacha watu huru kumpokea Tundu Lissu airport ,Hakuna fujo wala ugomvi uliotokea watu walishangilia sana na kurudi makwao kulala ,ccm ilichukua sifa kubwa kwa hili kwa wananchi ,Mbinu kama hii ya hamsini kwa hamsini ndio ujanja wenyewe.

Muda huu ndio mtu kama Humprey polepole angeacha vitisho na majigambo bali angekuwa anaitisha mijadala na wanasiasa wa upinzani.

Muda huu ndio ilikuwa unamuita Nape Nnauye kwenye Mdahalo na Halima Mdee wanabishana kwa hoja.

Bila mdahalo wa hoja za pande mbili wananchi wanazidi kuaminishwa ugumu wa maisha umesababishwa na ccm wakati kiuhalisia watendaji ndio wameleta matatizo na chuki kwa wananchi

Wafuatao walipaswa kutenguliwa kwa muda ile kujenga imani na kujitenga nao na chama, ccm ieleze kuwa hawa ndio wamezima bbc, Voa na DW, Pia ieleze kuwa hawa ndio wanaeneza chuki kwa ccm, Yote wanayofanya ccm iwaambie wananchi kuwa ni hawa watendaji na sio chama kinakosea

Mkurugenzi wa Tbc
Mkurugenzi wa TCRA
Mkurugenzi wa idara ya habari Maelezo au Msemaji wa serikali

Tukutane Octoba,
 
Hizo hoja zote alitakiwa kuziuliza bungeni apewe majibu na serikali hakufanya hivyo

Hata siku moja hajawahi ukiza. Bungeni wakati alikuwa mbunge ndio maana wananchi tunamshangaa

Alijalia tu kuongelea MIGA MIGA badala ya kuuliza maswali yanayohusu wananchi! Anakumbuka shuka wakati kumekucha!!! Too late

Alikula mishahara na miposho ya bure hayo maswali angeuliza bungeni
 
CCM is like a zombie land, everyone in it is literary brain-dead.
And we all know it is impossible to debate with a zombie.

If you think there's any CCM pundit who can challenge Lissu intellectually, then surely you are nothing but a putrified living corpse. So do not blame the poor butterflies (Public Servants) for your own predicaments.
 
Hizo hoja zote alitakiwa kuziuliza bungeni apewe majibu na serikali hakufanya hivyo

Hata siku moja hajawahi ukiza. Bungeni wakati alikuwa mbunge ndio maana wananchi tunamshangaa

Alijalia tu kuongelea MIGA MIGA badala ya kuuliza maswali yanayohusu wananchi! Anakumbuka shuka wakati kumekucha!!! Too late

Alikula mishahara na miposho ya bure hayo maswali angeuliza bungeni
Mkuu nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri mambo

Una uwezo mdogo sana wa kufikiri

Sio kila jambo wewe unageuza mipasho na ngonjera

Kama una miaka zaidi ya 18 na una mawazo mgando kama uliyoyaandika hakika kama Taifa kuna kitu kwenye mifumo yetu ya elimu haipo sawa

Inakuwaje mtu mzima na mashavu yako unatoa mipasho na ngonjera

Kama huna la kuandika nenda kunywa maji pumzika

You are certified idiot
 
Hizo hoja zote alitakiwa kuziuliza bungeni apewe majibu na serikali hakufanya hivyo

Hata siku moja hajawahi ukiza. Bungeni wakati alikuwa mbunge ndio maana wananchi tunamshangaa

Alijalia tu kuongelea MIGA MIGA badala ya kuuliza maswali yanayohusu wananchi! Anakumbuka shuka wakati kumekucha!!! Too late

Alikula mishahara na miposho ya bure hayo maswali angeuliza bungeni
Umesahau wakati mnampiga risasi alikuwa anauliza maswali gani? Watu kama wewe ndio mmelengwa na huu uzi.
 
Watu anaowazungumzia mtoa mada ndiyo wewe.
Mnaharibu mpaka basi.
Hizo hoja zote alitakiwa kuziuliza bungeni apewe majibu na serikali hakufanya hivyo

Hata siku moja hajawahi ukiza. Bungeni wakati alikuwa mbunge ndio maana wananchi tunamshangaa

Alijalia tu kuongelea MIGA MIGA badala ya kuuliza maswali yanayohusu wananchi! Anakumbuka shuka wakati kumekucha!!! Too late

Alikula mishahara na miposho ya bure hayo maswali angeuliza bungeni
 
Hizo hoja zote alitakiwa kuziuliza bungeni apewe majibu na serikali hakufanya hivyo

Hata siku moja hajawahi ukiza. Bungeni wakati alikuwa mbunge ndio maana wananchi tunamshangaa

Alijalia tu kuongelea MIGA MIGA badala ya kuuliza maswali yanayohusu wananchi! Anakumbuka shuka wakati kumekucha!!! Too late

Alikula mishahara na miposho ya bure hayo maswali angeuliza bungeni
Magufuli aliwahi kuuliza issue ya makinikia kusafirishwa nje mkuu?au yeye hakuwahi kuwa mbunge? You must be out of your mind
 
Hizo hoja zote alitakiwa kuziuliza bungeni apewe majibu na serikali hakufanya hivyo

Hata siku moja hajawahi ukiza. Bungeni wakati alikuwa mbunge ndio maana wananchi tunamshangaa

Alijalia tu kuongelea MIGA MIGA badala ya kuuliza maswali yanayohusu wananchi! Anakumbuka shuka wakati kumekucha!!! Too late

Alikula mishahara na miposho ya bure hayo maswali angeuliza bungeni
Utakuwa ulishachomolewa fyuzi ya Tako maana unaharisha tu non-stop
 
Wanabodi,Kila binadamu ana mapungufu yake ambayo wewe mwenyewe huwezi kujiona bali wanaokuangalia ndio wenye majibu sahihi juu yako

Watendaji wa serikali ndio wanaotuangusha chama cha mapinduzi sana,Hawa watendaji wengi hawana elimu ya siasa wao wanafikiria familia na kulinda mishahara yao tu

Kosa la kwanza,Wakati wa hali tata na katikati ya mapambano,Wanaibuka na kukoleza kutajwa tajwa kwa Tundu lisu na wananchi,Kukataza matangazo ya BBC,VOA na DW kulikofanywa na waziri Mwakyembe na TCRA kuna jenga chuki kwa wananchi kwa ccm bila sababu za msingi ,Inapelekea lissu kushangiliwa huko Kahama kwa kuwa anatembelea mapungufu ya watendaji kuwa wananchi hamtaona BBC wala DW au VOA

Kosa la pili,Television ya Taifa yaani TBC sijaelewa kwanini mtendaji wake bado yupo ofisi anatengeneza chuki kwa ccm kuwa wanaogopa hoja za upinzani na wanaficha maovu,Hili ni kosa kubwa sana kimkakati kwa chama ,Ni pyschology ya kawaida hata Nyumbani Baba anapojisifia yeye tu kuwa anawasaidia watoto,Watoto baadae wakigundua ukweli familia nyingi Mababa wanadharaulika sana,Yapasa awe na asilimia katika kuonyesha mambo sio kila siku upande wa ccm tu

Kosa la tatu, Matamko ya Jeshi la polisi hasa watendaji wa juu kwenye mambo ya siasa yanafanya watu kuamini chama cha ccm hakishindi kihalali maeneo mengine bali kwa kubebwa na polisi,Wakati kuna maeneo ccm inashinda kwa uhalali kabisa hata wapinzani wanakubali matokeo

Ni rahisi sana kuzijibu hoja za Tundu lisu kisomi majukwaani kama watendaji wa serikali wangetambua chama kinachotawala kinahitaji hoja zenye mashiko

Hoja za Tundu lissu sio nyingi sana ,Kama wakati ule hoja za Dkt Slaa zilikuwa zikijibiwa na Nape Nnauye kwa ustadi mkubwa na vijembe vya hapa na pale kwanini leo?

Mosi,Hoja ya uhuru wa habari na kuongea,Hapa TBC na ndugu Mwakyembe walipasa kuwa wajanja wanaonyesha sehemu za mikutano ya Tundu lisu halafu wanapigilia nondo zao kwa kuonyesha taarifa za Magufuli kuziba mabonde,Bila hivyo watu wanatafuta habari za Tundu lisu kinguvu

Pili,Hoja za Malalamiko za wafanyakazi , wafanyabiashara na wakulima hapa watendaji walipaswa kuonyesha kitu gani kimefanyika kisheria,Mapungufu walioyaona kwa miaka mitano,Na nini matarajio ,Bora kukili mapungufu na kuahidi kuboresha,Kutokuongelea hili Tundu lisu anazidi kutembelea udhaifu huu

Hoja ya upendeleo wa mkoa wa Geita hasa chato ni suala rahisi sana kulijibu ,lakini kitendo cha kuuliza chato ni wapi sio jibu ya hoja hii,Hapa watendaji walipaswa kueleza sababu za kwanini wameweka mbuga au uwanja chato na sababu zipo nyingi za kushawishi Raia wa Mwanza ,Mbeya au Dar es Salaam,Kujibu kirahisi kunazidi kumpa sifa Tundu lisu

Chama cha mapinduzi kisiwaonea haya hawa watendaji wa serikali wanaotafuta sifa huku wakiharibu sifa na upendo wa chama kwa wananchi

Mfano mzuri na ambao utadumu,Ni kitendo cha kuwaacha watu huru kumpokea Tundu lissu airport ,Hakuna fujo wala ugomvi uliotokea watu walishangilia sana na kurudi makwao kulala ,ccm ilichukua sifa kubwa kwa hili kwa wananchi ,Mbinu kama hii ya hamsini kwa hamsini ndio ujanja wenyewe

Muda huu ndio mtu kama Humprey polepole angeacha vitisho na majigambo bali angekuwa anaitisha mijadala na wanasiasa wa upinzani

Muda huu ndio ilikuwa unamuita Nape Nnauye kwenye Mdahalo na Halima mdee wanabishana kwa hoja

Bila mdahalo wa hoja za pande mbili wananchi wanazidi kuaminishwa ugumu wa maisha umesababishwa na ccm wakati kiuhalisia watendaji ndio wameleta matatizo na chuki kwa wananchi

Tukutane octoba,

..Je, mko tayari kutoa nafasi sawa kati ya chama tawala na vyama vya upinzani?

..yaani mfanye UDHALIMU miaka 4+ halafu mtegemee mtajisafisha ktk kipindi hiki kifupi kuelekea uchaguzi?!
 
Polepole unayemtaja hawezi kujibu hoja za lissu hata siku moja , Lissu size zake ni akina kinana, makamba nao mmeshawachafua kijinga jinga tu.

Mtavuna mlichopanda.

Siasa ni sayansi inahitaji ubunifu, utafiti, uchambuzi na strategies siyo ubabe na vitisho muda wote.
 
Hizo hoja zote alitakiwa kuziuliza bungeni apewe majibu na serikali hakufanya hivyo

Hata siku moja hajawahi ukiza. Bungeni wakati alikuwa mbunge ndio maana wananchi tunamshangaa

Alijalia tu kuongelea MIGA MIGA badala ya kuuliza maswali yanayohusu wananchi! Anakumbuka shuka wakati kumekucha!!! Too late

Alikula mishahara na miposho ya bure hayo maswali angeuliza bungeni
Kama Polepole naye ana mawazo mgando kama haya bora mleta mada uanze kuwashauri CHAUMMA.
 
Wanabodi,Kila binadamu ana mapungufu yake ambayo wewe mwenyewe huwezi kujiona bali wanaokuangalia ndio wenye majibu sahihi juu yako

Watendaji wa serikali ndio wanaotuangusha chama cha mapinduzi sana,Hawa watendaji wengi hawana elimu ya siasa wao wanafikiria familia na kulinda mishahara yao tu

Kosa la kwanza,Wakati wa hali tata na katikati ya mapambano,Wanaibuka na kukoleza kutajwa tajwa kwa Tundu lisu na wananchi,Kukataza matangazo ya BBC,VOA na DW kulikofanywa na waziri Mwakyembe na TCRA kuna jenga chuki kwa wananchi kwa ccm bila sababu za msingi ,Inapelekea lissu kushangiliwa huko Kahama kwa kuwa anatembelea mapungufu ya watendaji kuwa wananchi hamtaona BBC wala DW au VOA

Kosa la pili,Television ya Taifa yaani TBC sijaelewa kwanini mtendaji wake bado yupo ofisi anatengeneza chuki kwa ccm kuwa wanaogopa hoja za upinzani na wanaficha maovu,Hili ni kosa kubwa sana kimkakati kwa chama ,Ni pyschology ya kawaida hata Nyumbani Baba anapojisifia yeye tu kuwa anawasaidia watoto,Watoto baadae wakigundua ukweli familia nyingi Mababa wanadharaulika sana,Yapasa awe na asilimia katika kuonyesha mambo sio kila siku upande wa ccm tu

Kosa la tatu, Matamko ya Jeshi la polisi hasa watendaji wa juu kwenye mambo ya siasa yanafanya watu kuamini chama cha ccm hakishindi kihalali maeneo mengine bali kwa kubebwa na polisi,Wakati kuna maeneo ccm inashinda kwa uhalali kabisa hata wapinzani wanakubali matokeo

Ni rahisi sana kuzijibu hoja za Tundu lisu kisomi majukwaani kama watendaji wa serikali wangetambua chama kinachotawala kinahitaji hoja zenye mashiko

Hoja za Tundu lissu sio nyingi sana ,Kama wakati ule hoja za Dkt Slaa zilikuwa zikijibiwa na Nape Nnauye kwa ustadi mkubwa na vijembe vya hapa na pale kwanini leo?

Mosi,Hoja ya uhuru wa habari na kuongea,Hapa TBC na ndugu Mwakyembe walipasa kuwa wajanja wanaonyesha sehemu za mikutano ya Tundu lisu halafu wanapigilia nondo zao kwa kuonyesha taarifa za Magufuli kuziba mabonde,Bila hivyo watu wanatafuta habari za Tundu lisu kinguvu

Pili,Hoja za Malalamiko za wafanyakazi , wafanyabiashara na wakulima hapa watendaji walipaswa kuonyesha kitu gani kimefanyika kisheria,Mapungufu walioyaona kwa miaka mitano,Na nini matarajio ,Bora kukili mapungufu na kuahidi kuboresha,Kutokuongelea hili Tundu lisu anazidi kutembelea udhaifu huu

Hoja ya upendeleo wa mkoa wa Geita hasa chato ni suala rahisi sana kulijibu ,lakini kitendo cha kuuliza chato ni wapi sio jibu ya hoja hii,Hapa watendaji walipaswa kueleza sababu za kwanini wameweka mbuga au uwanja chato na sababu zipo nyingi za kushawishi Raia wa Mwanza ,Mbeya au Dar es Salaam,Kujibu kirahisi kunazidi kumpa sifa Tundu lisu

Chama cha mapinduzi kisiwaonea haya hawa watendaji wa serikali wanaotafuta sifa huku wakiharibu sifa na upendo wa chama kwa wananchi

Mfano mzuri na ambao utadumu,Ni kitendo cha kuwaacha watu huru kumpokea Tundu lissu airport ,Hakuna fujo wala ugomvi uliotokea watu walishangilia sana na kurudi makwao kulala ,ccm ilichukua sifa kubwa kwa hili kwa wananchi ,Mbinu kama hii ya hamsini kwa hamsini ndio ujanja wenyewe

Muda huu ndio mtu kama Humprey polepole angeacha vitisho na majigambo bali angekuwa anaitisha mijadala na wanasiasa wa upinzani

Muda huu ndio ilikuwa unamuita Nape Nnauye kwenye Mdahalo na Halima mdee wanabishana kwa hoja

Bila mdahalo wa hoja za pande mbili wananchi wanazidi kuaminishwa ugumu wa maisha umesababishwa na ccm wakati kiuhalisia watendaji ndio wameleta matatizo na chuki kwa wananchi

Tukutane octoba,
Whatever has been done, speaks by itself....
 
Back
Top Bottom