CCM: Hatma ya Uanachama wa Membe ilishafika mwisho akitaka aombe upya au asubiri msamaha!

Naona mh. Membe akisubiri uwaumuzi wa NEC atacheleweshwa ajiunge tu na CHAMA KINGINE- ACT au CHDM apambane vzr
 
Huyu Kanali ndo Halmashauri kuu ya Chama?

Kwa mujibu wa udikteta, Membe siyo mwanachama wa CCM

Ila kwa mujibu wa kanuni na taratibu xa chama Membe bado ni mwanachama halali.

Kamati kuu ya CCM haina power za kufukuza mtu uanachama labda kwa mujibu wa udikteta wa Mwenyekiti tu
 
Huyu Lubinga ni wapi katika katiba ya ccm amepewa dhamana ya kuzungumzia maamuzi yanayotakiwa kufanywa kwa kuheshimu katiba!?

Mjumbe wa sekretarieti ya CCM kanali Lubinga amesema hatma ya uanachama wa Benard Membe ilishafika mwisho hivyo akitaka kurejea ama aombe upya au asubiri msamaha.

Lubinga amesema Membe ana haki ya kuendelea na shughuli zake nje ya CCM bila kuingiliwa na yoyote na kwamba maneno anayoyaongea CCM hakiyaogopi.

Source The Citizen!

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
 
Naona signature imechenji mkuu...

Maendeleo hayana vyama 10 yatosha?
 
Back
Top Bottom