Elections 2010 Ccm hata wakijenga barabara mawinguni 2015 siwapigii kura!

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreaTthinkErs
  • Kwa jinsi suala hili la umeme linavyonikera licha ya kuwa na maporomoko mengi ya maji.
  • Kwa jinsi mafisadi wanavyowabembeleza na kufunga vibaka
  • kwa wanavyopeana vyeo utadhani nchi hii ni ya uchifu
  • Kwa jinsi Ukanda unavyoutesa moyo wangu kwa kupendelea pwani na Bagamoyo
  • Kwa jinsi ninavyokatwa PAYE na pesa kutumika kulipa posho wakuu wa wilaya badala ya kujenga zahanati
NASEMA HATA IWEJE 2015 CCM HAMPATI KURA YANGU:target:
 
Twajua hata hii 2010 hukuwapa ila wengi wamewapa na wameshinda. Ndivyo itakavyo kuwa hivyo hivyo 2015, be prepared !
 
Mimi nilishaga wasusia toka uchaguzi wa 1995 na sintakata tamaa mpaka watoke madarakani. Hata wakileta meli ya kutoka Dar mpaka Kigoma au Treni ya kutoka Tanga mpaka Pemba siwapi tu! Hawafai hata kidogo!
 
Hata msipopiga they will reign forever, this time hawakushinda, wakajishindisha. CCM wanaona kama vile TZ ni mali yao na hamna wa kuwashinda. Can anybody suggest the solutions to these Magugu sugu.
 
Hata msipopiga they will reign forever, this time hawakushinda, wakajishindisha. CCM wanaona kama vile TZ ni mali yao na hamna wa kuwashinda. Can anybody suggest the solutions to these Magugu sugu.

Solution ni kuwaunga mkono tu ili kutekeleza mipango mizuri iliyoko kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010 - 2015 ili kuwaletea maendeleo watanzania.
 
Kwani wewe unapiga kura kwa chama si mgombea? Ajabu hii!
 
Kwani wewe unapiga kura kwa chama na si kwa mgombea? Ajabu hii!
 
You, the minority won't give them, but the majority will! And so? They will continue ruling YOU! Yes, you better die to escape CCM rule!
What is majority? Is it not many minority coming together?
Don't forget behind me is a lot of people, which you term them minority and behind each of them there is another list!
be careful you CCM cadre
 
Back
Top Bottom