CCM, hapa ndipo mlipotufikisha walala hoooi!

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Hapa mwanza,kuna chuo cha makada wawili wa chama cha mapinduzi,mmoja anaitwa samson itozya makunja na mwenzake anaitwa festo magambo,hawa jamaa wana NGO yao ambayo kwa sababu ya njaa wameigeuza kuwa chuo cha madini kinaitwa CRDO,wanafanya matangazo katika mikoa yenye migodi ya madini na wilaya zake wakiwahamasiha vijana kujiunga katika kozin zao na kuwa watawatafutia ajira mogodini na matokeo yake ni vijana weng kuishia kutapeliwa,serikali dhaifu ya CCM imeshindwa kuliona hili,na makada wake wanaanzisha vyuo vya kuchakachua uchumi mdoggo na wa shida wa vijana wake,kama kuna yeyote hapa JF anajua mahali pa kufikisha habari hizi atusaidie maana hapa mwanza vijana wanalizwa na hivi sasa wanatangaza kozi ya utalii hali hata majengo ya kufanyia kozi zao hawana,istoshe leo hii wanaofanya mafunzo ya madini wamepelekwa kwenda kusomea shule ya msingi ya nyanza ambapo wanafunzi wa shule ya msingi wametolewa darasani na kurusiwa kwenda makwao kupisha wanachuo waliofanyiiwa mchezo wa kuigiza na bwana makunja,na issue hii pale shule ya msingi ya nyanza C NI KATI kati ya bwana makunja na MWALIMU mkuu wa shule,hii ni halali? je hii ni halali watoto wetu wa shule ya msingi kukatishwa masomo yao kwa sababu ya utapeli wa bwana makunja na mwalimu mkuu aliyehongwa vipesa na uongozi wa CRDO?
 
sikia kauli ya mwenyekiti wa chama chao.

"Ni heri Dr.Slaa ashinde urais kuliko Tundu Lissu kuwa
mbunge." Maneno ya Rais Kikwete
mwezi Septemba mwaka 2010.
 
issue sio kuwa makada issue elimu wanayotoa inakidhi viwango maana hatujafikia huko kubagua huduma za mtu kutokana na itikadi zake za chama na kama watu wameahidiwa kazi wakatapeliwa waungane wawashtaki mahakamani hapo hamna mzaha.otherwise wacha vijana wapate elimu bwana siku moja tuongee lugha moja kama taifa moja
 
issue sio kuwa makada issue elimu wanayotoa inakidhi viwango maana hatujafikia huko kubagua huduma za mtu kutokana na itikadi zake za chama na kama watu wameahidiwa kazi wakatapeliwa waungane wawashtaki mahakamani hapo hamna mzaha.otherwise wacha vijana wapate elimu bwana siku moja tuongee lugha moja kama taifa moja

ni bora basi hata hiyo elimu ingekuwa inakidhi viwango,mashaka matupu!
 
huuu nao ni ufisadi! wamepata wapi kibali cha kufungua chuo na hawajakizi vigezo kama kuwa na mahala pa kufundishia hao wanafunzi!
 
Back
Top Bottom