kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 512
CCM haiaminiki kwenye swala la uchaguzi hii ni FACT tumeona figisu uchaguzi ya serekali za mitaa, engua ilikua nchi nzima tena kwa wapinzani tu. Mpaka wapinzani wakasusia. Wamefanya hivohivo engua engua tena kwa wapinzani tu na wao wengi kupita bila kupingwa Lengo ilikua waengue wapinzani wote tena ili waendelee na hujuma ile ya uchaguzi za serekali za mitaa. Kwahiyo CCM Hana credibility ya kuendesha uchaguzi huru. Hata rais naye anafurahia sana hujuma hizi. Hakukemea kwennye serekali za mitaa kama kiongozi, kinyume chake alifurahi sana.
Leo kuna tuhuma kuhusu wakurugenzi, Polepole tayari kaitisha waandishi wahabari kujibu. Tumesema whistle blower kafanya kanzi nzuri. Na itakua kweli, maana ndivyo mulivyo. Wamegundu, walivyo panga haiendi sasa kuna walakini na muda unaenda na mambo hayaendi according to plan. Typical ya African Leadership. Kuleta uchaguzi huru kwao ni shida hawawezi. Sasa anacho tafutia huru kwa wananchi Polepole ni nini? Wakati udanganyifu na njama za kuiba kura ndo jadi yao. SIKU YAKUFA NYANI, KILA MTI HUTELEZA.
CHEATING DOES NOT PAY ALWAYS.
Walitamba 2020 kutakua hamna upinzani, wakaweka mkawakuzuia mikutano yote ya kisiasa mpaka 2020. Watu wamefukutia na dukuduku for 5 years, huku wapa nafasi, mpaka na kuwapitishia visheria kandamizi ikiwemo kuwazuia kuungana. Leo wanaongea yote uliowazuia wasisema ndani ya miaka 5, munaanza kulalamika.
Wangewaruhusu, Leo wapinzani wasinge kua na mambo mengi yakusema na wananchi. Sasa ccm itabidi mpambane na halo yenu.
Ila ipo siku sheria hizihizi mulizopitisha kwa hira, zitakuja kuwaumiza na nie muda si mrefu.
WHAT GOES ARROUND COME ARROUND