CCM hamkuona zaidi ya WANYIRAMBA? Nnauye, Chiligati na Mwingulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM hamkuona zaidi ya WANYIRAMBA? Nnauye, Chiligati na Mwingulu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr. Clean, Oct 30, 2011.

 1. M

  Mr. Clean Senior Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  CHILIGATI, MNAUYE, MWIGULU wote wa palepale kwetu singida, je sisiemu nao wana ukanda ktk uongozi?
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani suala siyo ukabila bali uwezo wao binafsi katika utendaji kazi kichama na si vinginevyo.
   
 3. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  singida ni ya tatu kutoka mwisho kwenye umasikini!
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,566
  Likes Received: 4,688
  Trophy Points: 280
  CCM ni chama cha wanyiramba, tehe tehe tehe.
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Chama pekee chenye ukanda ni chadema.
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mabinti kutoka kabila hili ni wazinzi sana
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kumbavu zako.
  Chiligati mnyiramba wa wapi.
  OTIS.
   
 8. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,147
  Likes Received: 1,242
  Trophy Points: 280
  Na Tanzania ni ya ngapi kwa umaskini duniani? Ni ya Tatu toka mwisho
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  mbona mwigulu alikimbia na bikini alipofumaniwa kule igunga, hapo hujawatendea haki wadada wa kinyira.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mnyamwezi
   
 11. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Sio kweli angalia takwimu za GDP 2010 Singida ni ya mwisho ikiwa na GDP ya Billioni 500 na kitu hv
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Haijalishi sehemu wanayotoka, kama wanaweza uongozi si mbaya..
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hapa Kigogo umepotoka. Kama ni umalaya karibu makabila yote wana tabia hizo..
   
 14. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Wanataka kusafisha nyota kwani nasikia kwa tanzania wanyiramba ndilo kabila pekee ambalo ukoo unahesabiwa kwa mama.
  Labda ccm itakuwa safi.
   
 15. M

  Mr. Clean Senior Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Hata iwe Mnyaturu wa Manyoni, kote ni Singida. kwani usemapo Mkoa wa Mbeya ni wawanyakusa, si wanyiha, wafipa, wandali wanamezwapo?

  Hapa naongelea Mkoa mmoja wa Singida kutoa voingozi wa juu wa chama watatu, ilahli kutusahau wahuku kusini mtwara, lindi, songea, rukwa and the like!
   
 16. 1

  19don JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  huyu tupo ndani (chiligati) ni mgogo nn
   
 17. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  He! Napelele nilidhani ni mmakonde. Pitia upya kumbukumbu.
   
 18. M

  Mr. Clean Senior Member

  #18
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Nape huko umakondeni alipewa kipoozeo cha uDC na mkuu wa kaya kupisha uchaguzi ulopita!
  kwani humwoni usoni mshombeshombe? kuna mmakonde asokuwa na ndonya!
   
Loading...