CCM hali tete Msumi

Kazohera

Member
Nov 22, 2013
9
0
Hali ya mgombea wa CCM ktk uchaguzi wa serikali ya mtaa wa Msumi ni tete, mgombea huyo anayejulikana kama mwalimu Gulam ameshindwa kujieleza mbele ya wapiga kura na kuambulia kuzomewa, Vijana kwa wazee wanaiunga mkono chadema chama ambacho kimekua kwa kasi hapa Msumi pia ina vijana wanaojua kujenga hoja zenye tija kwa taifa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom