CCM hakuna watu mpaka ateue upinzani?

Hawaaminiani ,wote wako kibashite bashite.Mwenyekiti kaona afanye kazi na wapinzani
 
nacho kijua presdnt anaamin ktk uchapakazi wa mtu, mama mghwila ukimsikiliza anaongea shida zilizopo tanzania na kutoa suluhisho,
kuliko chama kilicho uzwa wao ni lawama tuu kaa mtoto wa kambo hawana jema kila kitu kwao ni tatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom