CCM hakuna demokrasia. Kama Mwenyekiti anakuwa na maamuzi kuzidi wajumbe majimboni haina maana ya kura za maoni majimboni. Mwenyekiti ana watu wake

Mkuu hebu subiri kwanza kidogo nimtafakari huyu mzee anaetaka kujaribu bahati yake kule alikopelekaga mboga!
EbGeE1BWsAMj2vq.jpg
 
Unaijua katiba ya ccm vema na madaraka ya kila kiongozi kikatiba? Nyie ndio mmejiandaa na rushwa na nyuchu za madaraka. Njooni nasisi #thecommonmwananchi tutawahudumia kwa kichinjio.
 
Hangaikeni kwanza na chadema yenu, toka siku mwenyekiti alipochukua fomu wote mmekuwa baridi hata jina la Tundu lisu kimefutika kinywani mwenu.

Mpaka sasa hamjuini nani atapambana na Raisi magufuli. Mnategemea miujiza, yala maneno twende na tundu lisu mnaogopa kuyasema kwa sasa.
 
Return Of Undertaker,

Mbona vyama vyote vipo hivo. Demokrasia ni pamoja na kuhakikisha njia ulizotumia kupata hizo kura kama ni sahihi. Kwanini ikiwa kwa CCM mnashangaa. Mwaka 2015 CHADEMA -Mwenyekiti alimpitisha mgombea wa Urais mwenyewe na kundi lake dogo la wahuni tu.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom