CCM hakika wana wazimu au wamevimbiwa madaraka?

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,418
7,202
Kama kuna jambo la kusikitisha awamu ya mama ni hili la kuwapa watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama nafasi za uongozi kwenye awamu yake.

Watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama halafu mtu anawaamini uongozi wa chama😂. Tusisahau awamu ya mama ni sawa mtu kuokota dodo.

Tafuta orodha ya wale waliyoorodheshwa kwa ukwapuzi wa mali za chama utastaajabu. Ndio utakuta wale waliyomsengenya vibaya magufuli wote wapo.

Wanafiki hawa baada ya kujulikana wakajidai kumwangukia kuomba msamaha. Ndio hao hao wako mstari wa mbele kumpiga vijembe na kumsema vibaya baada ya kufa.

Mama naye haishi kumpiga magufuli vijembe. Sijui ni unafiki gani alikua nao. Si muda watafanya hila kuwarejeshea mali kina nape na shaka et al waliyokua wamepiga mali za chama. Hadi channel 10 tv walipora.

Tunalomuomba mwenyezi mungu amjalie mama busara ya kutokua king'ang'anizi wa madaraka maana kashakubali viatu vya rais mzalendo na jasiri na aliyekua kipenzi cha watanzania Magufuli havimtoshi.

Wanaccm na wananchi kwa ujumla 2025 tuungane kuhakikisha tunapata Magufulu mpya.

Tumuombee mama aweze kutuvusha kwa amani.
 
2025 tunaprint fomu moja tu kwa ajili ya Samia huo ndo utaratibu na utamaduni wetu CCM.
 
Ana miaka minne ya kuonesha miguu kama viatu vimemtosha. Vinginevyo nyie mnaoshabikia mtu badala ya uwezo wake mjitayarishe kisaikolojia. Katiba ya ccm itabidi kuheshimiwa. Hakuna mgombea wa ccm aliyewahi kubebwa kwa mbeleko mara zote. Lazima uchaguzi wa mgombea 2025 uwe wazi na wa mashindano kama katiba inavyotaka.
 
Wewe huipondi CCM, wewe unamsifia Magufuli ambaye ni CCM na kumponda Samia ambaye ni CCM
Lakini nikuambie tu, Wote ni Wezi, Magufuli na Samia hakuna mwadilifu

Kwa waliotajwa kukwapua mali za chama yupo Abdalla Bulembo ambaye Magufuli alimteua kama Mbunge tena baada ya ripoti kutoka
Yupo pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikwapua shule lakini aliteuliwa tena kuwa Waziri Mkuu na Magufuli

Pia yapo majambazi kama Sabaya, Makonda ambayo Magufuli aliyateua na kuyalinda, leo hii unasema Magufuli alikuwa mwadilifu???

Ona aibu
 
Ngosha alishakufa akaoza na nazan ameshapasuka sasa nyie endeleeni kuzani yuko likizo na mama kakaimu nafasi kwa mda
 
Atake asitake tutamuongezea muda in Andunje voice
Kama kuna jambo la kusikitisha awamu ya mama ni hili la kuwapa watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama nafasi za uongozi kwenye awamu yake.

Watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama halafu mtu anawaamini uongozi wa chama. Tusisahau awamu ya mama ni sawa mtu kuokota dodo.

Back
Top Bottom