CCM haiwezi kushinda bila kukupua tena hela za wananchi

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Kwa maoni yangu, CCM haiwezi kushinda uchaguzi bila ya kukupua tena mabilioni ya umma. Na hii ndiyo imekuwa siri kubwa kwa ushindi wa CCM hasa tangu uchaguzi wa 2000. Ni bahati mbaya tu siri ilikuja kufichuka baada ya uchaguzi wa 2005, maana siku za mwizi ni 40. Safari hii watatumnia njia nyingine, siyo BoT tena. JAMAA HAWA NI SUGU KWELIKWELI KATIKA MABO HAYO.
 
Wanaweza kuiba Yes, Lakini si njia pekee kumbuka hawa jamaa wamewekeza kwa wafanyabiashara wakubwa - kila mkoa na wilaya wana list wafanyabiashara wao ambao lazima wakichangie chama hasa wakati wa uchaguzi ili mambo yao yaende vizuri. mfano mzuri tu ni Kilimanjaro majuzi juzi tumeona. Anyway cha msingi itafika siku hata wakiwa na mabillioni watu watasema NO to CCM, na hiyo siku haipo mbali.
 
msisahau hata huu mradi wa SMS ni njia ya wizi kwa umma,kama kinakubalika kwa 90% mabilion yote ya nini kama sio ya kutongozea kura za maskini
 
Back
Top Bottom