CCM Haitayumbishwa na Ngonjera za WAPINZANI

Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika.
CCM ni chama chenye nguvu.
CCM ni Chama chenye uwezo mkubwa kiuetandaji.
CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii na kuwaletea wananchi maendelo
CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
CCM Viva Viva,fanyeni mikutano jueni kila muendapo mtatukuta.

Updates
Haya ndo yanawapa ukiburi kuwa mtatawala njii hig
Chadema-chaga development for movement alliance.
M4C-Movement for change

Kama mtu uliyejitambulisha kuwa kada wa CCM na upo kwenye forum ya "great thinkers" una mtazamo huu basi CCM ina hali mbaya kuliko nilivyokuwa nikidhani. Hizo ngonjera na maigizo zina impact kubwa sana kwenye mawazo na utashi wa wapiga kura. Kama kweli wewe ni mpenzi na kada wa CCM unapaswa kuwasaidia "think tank" ya chama chako iliyozeeka watafakari kwa kina mkakati mzuri zaidi wa kukikomboa chama chenu.
 
wapinzani ni sawa na wasanii wanaotungiwa nyimbo na kuziimba wao.
576812_394542500588322_987106000_n.jpg
 
543524_4107074115877_2124706871_n.jpg

Ngoja nikwambie kitu dogo,Uchache wenu,Udogo wenu ndo unaowafanya mtii amri mmoja.
Swala la kumkataa mtu wasiemtaka ni haki yao na kila hali ya kufanya,

Hakuna chama ambacho hakina makundi.

Maige au IMAGE si mwadilifu,amekula vingapi.ameiba vingapi.Kama ni mpigania haki kwanini Hela za mkopo asijenge dispensar jimboni kwake.
Yako mengi ambayo yanafanyika nje ya maigizo ya chama chetu tawala.

Nafasi za mashina waliogoma wamegoma kwasbbu zao,kukosa kwao kugombea si kwamba chama kimepoteza mwelekeo hakiwezi poteza mwelekeo hata kidogo.
 
saif al islam alipoulizwa na mwandishi wa habari kuhusu kuanguka kwa utawala wa baba yake alicheka sana na kusema hizo ni ndoto na haiwezekani katika sayari hii.
leo kiko wapi?

kuanguka kwa ccm kumefikia mwisho bila kujali atakayekuja ni mzuri au mbaya na mifano ni mingi.
mungu alikuwa anawaacha watu wake wachapwe ili kuwapa fundisho pale walipokosea.ccm imefanya kila chukizo,imeiharibu nchi,imeuza urithi wa wana wake,imewachonganmisha watu wake.
muda wakuondoka umefika,mungu analeta mapinduzi yawe mabaya au mazuri ni lazma yafanyike.

asiyeamini naye kapigwa na upofu ili ayashuhudie mapigo.
 
kaka
usijipe sana moyo,kwani inakubidi ujipange,wenzako wanajipanga,usibweteke kamwe

jaribu kusoma alama za nyakati

nakupa mifano midogo tu
1.Kanu-is no more
2.zambia - UNIP
3.mali
4.malawi
5.france
6.greece

kwa hiyo fanya kazi kwa bidii usije lalama baadae

Zebedayo ni fukara wa kufikiri; hebu tumkumbushe aache ngonjera azungumze kwa rekodi za historia; Vyama vyote vilivyopigania uhuru katika nchi zote zinazoizunguka Tanzania, achana na mambo ya Ulaya; vyama vyote vimefurushwa madarakani na vingine vimekufa kabisa. fuatilia records zipo wazi sio kitu kilichofichwa!
1. KANU Kenya
2. UPC - Uganda
3. MCP - Malawi
4. UNIP - Zambia
5. Madagascar
6. Comoro
7. Rwanda
8. Burundi
9. DR Congo
10. Sudan,
Zebedayo akumbushwe pia kwamba historia ina katabia kamoja kabaya sana ka kupenda kujirudia rudia, Tanzania is no exception, NyinyiEM itaondoka madarakani au kufilia mbali kabisa, and that time has come, the writing is on the big screen. No research no right to speak, acha ngonjera fanya utafiti ndio ufungue mandibles zako.

Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika.
Updates
Haya ndo yanawapa ukiburi kuwa mtatawala njii hig
Chadema-chaga development for movement alliance.
M4C-Movement for change
CCM ni chama chenye nguvu.
Ambacho sasa kimechoka kimemaliza life cycle yake kinaelekea kaburini
CCM ni Chama chenye uwezo mkubwa kiuetandaji.
Uwezo mkubwa wa utendaji wa kusimamia ufisadi, rushwa na ubadhirifu wa mali za umma
CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii na kuwaletea wananchi maendelo
Ambacho sasa kimeididimiza nchi iko taabani
CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila.
NYINYIEM ikiendelea kubaki madarakani Tanzania itaangamia
CCM Viva Viva,fanyeni mikutano jueni kila muendapo mtatukuta.
Tutawakuta mkijaribu kumaliza raslimali za nchi mkimbie,

Lakini mjue RIGHT IS MIGHT, tutawang'oa
NyinyiEM bye bye; NyinyiEM bye bye; NyinyiEM bye bye
 
Zebedayo ni fukara wa kufikiri; hebu tumkumbushe aache ngonjera azungumze kwa rekodi za historia; Vyama vyote vilivyopigania uhuru katika nchi zote zinazoizunguka Tanzania, achana na mambo ya Ulaya; vyama vyote vimefurushwa madarakani na vingine vimekufa kabisa. fuatilia records zipo wazi sio kitu kilichofichwa!
1. KANU Kenya
2. UPC - Uganda
3. MCP - Malawi
4. UNIP - Zambia
5. Madagascar
6. Comoro
7. Rwanda
8. Burundi
9. DR Congo
10. Sudan,
Zebedayo akumbushwe pia kwamba historia ina katabia kamoja kabaya sana ka kupenda kujirudia rudia, Tanzania is no exception, NyinyiEM itaondoka madarakani au kufilia mbali kabisa, and that time has come, the writing is on the big screen. No research no right to speak, acha ngonjera fanya utafiti ndio ufungue mandibles zako.

usiishi kwa matarajio ya jirani yako,kwamba yeye kanunua gari na wewe ipo siku utanunua utakaa sanaaaa.......CCM VIVAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Kwahiyo unataka kutuambia nini sisi wachaga tuliopo CCM, mnatufanya MISUKULE yenu kumbe.
 
Kazi ya kuitetea CCM kwa sasa ni sawa na kuamsha maiti..mtoa mada wambie wavivu wa kufikiri na vilaza wenzio muendelee kuiamsha maiti CCM,maana huenda ikaamka kabla ya 2015
 
Umejitahidi saaaaaaaaaaaana, nafikiri ni muda mwafaka wa kwenda Lumumba upate malipo yako, thanx 4 nothing, magamba ni mabingwa wa kuwagawa watanzania kwa udini na ukanda, mbinu hzo zishapitwa na wakati enzi za zidumu fikra za ..................... hazipo tena puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom