CCM haistahili hata sekunde moja ya kubaki madarakani

DIZZO MTAWALA

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
240
767
Ndugu zangu watanzania ninayasema haya sio kwa sababu huwa na mtizamo tofauti na ujamaa wa CCM la hasha! CCM waliomba kura kwa jambo kuu la ustawi wa watu sio vitu sasa leo tuko kwenye mlipuko wa ugonjwa wa Covid19 ccm bado wanaimba mapambio ya vitu ohhh reli mara madaraja mara vituo vya afya.

Taifa lolote duniani huanza na watu kwanza ndio maana umeona nchi nyingi zimejizatiti kwenye Corona kwetu kipaumbele umeme na reli na ununuzi wa ndege huku watu wake wakifa kwa njaa na magonjwa ukiwasukiliza watu wa CCM utafikiri tumejizatiti kweli kumbe wanalinda madaraka kuliko utu wa mtanzania.

Jana bajeti ya afya iliwasilishwa wabunge wa opposition wakata mkakati wa serikali ni upi wa kupambana na Corona wabunge wa chama tawala wakiitetea serikali muda wote wengine wakasema vipimo ni bei kwa ameona bora tufe ilimradi CCM ikae madarakani. Shame on CCM mnatakiwa muondeke kivyovyote mmewadharau sana watanzania

2020 fanya maamuzi juu ya familia yako na Taifa lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa CCM tuwaondoe, kwaiyo waondoke CCM wapewe Chadema? CCM wanashida zao nyingi ila Wapinzani bado hawajawa Atayari, Ipo siku CCM wataondoka tena bila kutumia nguvu.

Vyama vya upinzani siku vitakapo kuwa taasisi vitapewa nchi na wananchi. Huwezi ukamuondoa JPM uka kabidhi nchi kwa chama cha Zitto au DJ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anguko la Magufuli Litakuwa kubwa sana october, labda ndio maana anataka corona itupige ili uchaguzi usogezwe mwakani.
Angukooo mmmh si rahisi kwan wapumbavu hawamwamini mwingine

Lengo lilikuwa october na october ndiyo itampitisha, akisogeza mbele ndilo anguko lake ndani yaani primaries na nje wabunge wa ccm watapata upinzani mkubwa

Wapinzani wanataman usogezwe ili wajiandae kwan mipango mezan 0-10%
 
CCM kitabaki kuwa chama cha upinzani kabla ya kufutika kabisa na kubaki kwenye vitabu vya historia

CCM hakiwezi kushindana na wakati muda umebadilika siasa za debe tupu zimeshapitwa na wakati
Makosa ya ccm ni ya kujilaumu yenyewe na kutawala kibabe na kuacha misingi yake

Bye bye ccm sitakumisi kafie mbele
 
Toka umetupia Uzi huu, sekunde ngapi zimepita? Mbona Wapo Tu!

Shida kubwa hata hao wapinzani tuliojaribu kuwaamini leo ndo wamepoteana haswa! Dawa ya sisiem inakuwa ni adimu sasa! Wanatuboa Sana kuhamahama
 
Sawa CCM tuwaondoe, kwaiyo waondoke CCM wapewe Chadema? CCM wanashida zao nyingi ila Wapinzani bado hawajawa Atayari, Ipo siku CCM wataondoka tena bila kutumia nguvu. Vyama vya upinzani siku vitakapo kua taasisi vitapewa nchi na wana nchi. Uwezi ukamuondoa JPM uka kabidhi nchi kwa chama cha Zitto au DJ.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata South Africa walikuwepo kama ww walimuona botha kama mungu na ww unamuona aliyejificha chato kama mungu pia ccm must go


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sera ya kununua Wapinzani na kuwaacha wanaccm makini imekuja kukizika Chama na huo ndio msumari mwingine kwenye jeneza la ccm

Sisi tulikuwa wanaCcm kindakindaki piga galagaza lakini unakwenda kukunua wapinzani kwa fedha nyiiiingi za walipakodi ni kukimaliza Chama

Msumari wa mwisho ni kuchagua mwenyekiti Chizi anaeongoza nchi kama anamuongoza mkewe msumari huu umeambatana na kuruhusu korona iuwe Watanzania
 
Pia kuna lile zindiko la nchi lipo mkoa fulani inabidi livunjwe na watu wa Mungu wa Kweli utaona ccm itaanguka kama nyumba mbovu.
 
Yaani hata kuchukua hatua za kulinda uhai wao wanasubiri maelekezo ya mwenyekiti.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni mizoga hiyo inaishi zama za "Zidumu Fikra Za Mwenyekiti".

Mwenyekiti kajifungia kwake anawaambia wachape kazi anaamini Mungu atatuvusha huku watu wanakufa.

Incomepetence ya hali ya juu!

Hakuna hata mmoja wao anayeweza kusimama na kuhoji kwa sababu ya hofu ya kukatwa jina. Hiki si chama cha siasa. Hawa ni mateka.
 
Hakikisha mwaka huu haufanyi makosa tena kwenye kichinjio cha sanduku la kura

Ili tupunguze kelele zisizo na ulazima.
 
Back
Top Bottom