CCM haina nia ya kuboresha maisha watanzania kwa mwendo inawatumia tu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM haina nia ya kuboresha maisha watanzania kwa mwendo inawatumia tu.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VIKWAZO, Jul 9, 2011.

 1. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  View attachment 33600
  1. kama wajumbe wa nyumba kumi kikwete amewakalisha chini kwenye ukumbi wa kifahali ni dalili kwamba watoto wa shule wasahau madwati, ccm haioni kama ili ni tatizo , wajumbe hao na heshima zao na kuacha shunguli zao wamekalisha chini shule itakuwa je? badala ya kukodi ubungo plaza kwa nini wasinge kodi ukumbi nafuu au kufanyia kwenye uwanja wa wazi na kuwakodishi hao wajumbe vitu hata kuwapa heshima yao kama watu , hii ni dharahu kwa wanachama na wananchi kwa ujumla
  2. CCM wanameweza kuwapatia hao wajumbe nguo na kofia zenye nembo ya ccm kama matangazo yao mitaa, lakini wanatembea peku, ghalama ya kununua hizo kofia zingetosha kuwa nunulia viatu hao wajumbe, hao wajumbe wanafanya kazi nzuri sana ya chama lakini wanaishi katika mazingira duni kama haya sisi na hapo wako mbele ya mwenyekiti wao taifa lakini hakuona kama hilo ni tatizo pia, vipaumbe vya ccm sio kwa maslahi ya wengi au wananchi ni kwa manufaa ya walio juu, hawa wajumbe wana haki mbaya wangepashwa kulipwa posho kiasi furani lakini NAPE na wenzie kwenye kamati kuu wanatumia magari ya kifahari na ulinzi na mishahara minono,
  3. Kikwete na viongozi wa ccm kwa ujumla wanaona kama wananchi tumelidhika/vipofu na hii hali na ndio maana anajeuri ya kuwakalisha hapo chini na kuwavunjia heshima
  4. Natoa rai kwa wasomi na wenye upeo wakuelewa mambo sasa ni wakati wa kulaani kila baya linalofanywa katika jamii yetu bila kujali chama wa rangi
   
 2. A

  August JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  kinacho nishangaza mimi, pale mtu na akili zake anaamua gombea nafasi ya uongozi, ili wagomboe watanzania katika lindi la umasikini au kama wenyewe wanavyo dai maisha bora kwa wote halafumtu huyo huyo anashindwa kuwapatia umeme wa uhakika watu hao ili waboreshe shughuli zao za kiuchumi, je hayo maisha bora yata dondoka kama manna.?
   
 3. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  si unaona wengine wameshika tama hapo nyumbani hawajaacha kitu na hapo wasipopewa chochote basi siku ya leo itakuwa balaa. wengine naona wameshika tama sijui wanasikitikia bei za vitu sasa hivi? naona sasa mambo ya kuongea na wananchi haiwezekeani imebaki wazee wa ccm na wazee wa dar es salaam.
   
 4. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  WANADAMU WANAFURAHIA KUTAWALA WANADAMU WENZI WAO.
  Lakini ukisoma Biblia (Mwanzo 1:28b), imeandikwa, "mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi"
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  use your loaf
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nilikutana nao mida ya saa nane nilipita pale ubungo plazza maskini wamechooka wanakimbilia kule nyuma kwenye parking kuomba lift kwa wenye magari yaani no descipline huyu karuka huku huyu kamwita fulani basi fujo mtindo mmoja. CCM ishapitwa na wakati haiwezi kutupeleka kokote kwenye mafanikio
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi huyo aliokaa mbele ya magamba wenzake ni nani?
   
 8. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hao ni wana usalama wa mkuu naona hata yeye ana imani nao kabisa wanaweza kumrukia
  ina wana hali mbaya na hapo ni dar
  mimi hii picha imeniumiza kichwa sana kwa nini hizo kofia wasiwape viatu?
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Jamani hata viatu hawana hawa watu .Yaani hawa ni masikini wa mali na hali .Pole zao hawa wana wenye akili finyu .
   
 10. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ccm wanasema kila mwanafunzi hata kaa kwenye dawati wakipewa pesa za RADA harafu wao wanamefanya kikao kwenye ukumbi wa kifahari bila viti wala viatu.
   
 11. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Anaongea nini muhishimiwa wakati tuanshuhudia vitu vimepanda be, umeme ndo hivyo tatizo. mi nadhani tufike kipindi viongozi tuone hata aibu jamani haya matatizo wanayopata watz. yahani haya matatizo wenzetu wanaona powa tu, du CCM kweli mpumuzike sasa jamani
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu,huyo mwana usalama mbona afya mgogoro anaweza kweli kupambana na magaidi?
   
 13. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hahahaha ni sehemu ya ajira million moja za ilani ya uchaguzi mlinzi anakaa chini au kasimama katika kihivyo
   
Loading...