CCM haina itikadi (Political Party Ideology)

jigoku

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,411
733
Moja ya sababu kubwa iliyooelekea Chama cha Mapinduzi (CCM) kutawala (sio kuongoza) kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo Polisi na TISS kushindana na vyama vya upinzani hususan CHADEMA ni kwa sababu CCM hawana ITIKADI.

Ndio maana leo wanajibu hoja za Chadema kwa jeshi la polisi kuvamia shughuli za chama,kuzuia shughuli halali za kujijenga kisiasa ikiwemo kuwaeleza wananchi sera mbadala na kujadili agenda za kitaifa.Badala yake CCM hutumia polisi kujibu hoja au kuzuia kabisa shughuli za chadema na mwishowe kubambia kesi viongozi na wanachama.

Kukosekana kwa jicho la chama ambapo ni Itikadi hupelekea chama kuendeshwa kama genge la wahuni tu,CCM hawana tofauti na genge la maharamia maana ndio chama pekee kisichokuwa na ITIKADI.

Mwenye kubisha aje hapa aniambie Itikadi ya CCM ni ipi?
 
Back
Top Bottom