CCM haina daraja la kujivunia kupata mafanikio sehemu 1.


bendaki

bendaki

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
954
Likes
153
Points
60
bendaki

bendaki

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
954 153 60
Nilikutana na picha humu ktk jf wakionyesha barabara na madaraja kuonyesha mafanikio ya jk. Tanzania ni ya wakulima (90%) na wafanyakazi. Mafanikio lazima ya reflect ubora wa maisha kwa hawa watu. Mkulima anashudia barabara za lami juu ya kifo cha reli mkombozi wake. Akihoji atambiwa tunakusafirishia mizigo na wewe kwa magari ya wakubwa lazima barabara zikopewe ili magari ya dumu. Ili kuondoa ushindani reli lazima ife. Na mkopo mkulima lazima achangie kulipa. Ni wapi mkulima amesaidiwa kukuza mazao yake? Kupata mitaji hata kwa kukopa? Wasoko yameboreshwa? Wakulima hawakopwi? Nk. Je elimu kwa wakulima ipo? Kodi rukuki kwa wakulima inaendana na huduma kwa mkulima. Je kabla ya CCM mambo mbona yalikuwa mazuri. Hali imeharibika tufanye nn!
 

Forum statistics

Threads 1,273,284
Members 490,351
Posts 30,476,952