CCM haijajenga UDOM bali NSSF ambazo ni pesa za Watanzania!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM haijajenga UDOM bali NSSF ambazo ni pesa za Watanzania!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kamundu, Jun 28, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,108
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kuna watu wanaendelea kusema UDOM imejengwa na chama tawala hili sio la kweli UDOM mpaka sasa imekopa pesa za majengo ambayo yametoka kwenye NSSF na nyingine kwenye misaada kama Bill Gate Foundation and IBM. Hili sio swala la kisiasa na chuo hiki kimejegwa wakati wa Mkapa na kufunguliwa wakati wa Kikwete. Watu kusema kwamba chuo hiki kimejegwa na Chama si kweli na misaada Tanzania inayopata kutoka nje siyo ya Chama bali ni ya nchi.
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli.
   
Loading...