CCM haihusiki mauaji ya Tarime - Tambwe (Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Propaganda cha CCM)

CDM hawana pakushika wanatapatapa km samaki nchi kavu,mheshimiwa Tambwe CDM wamekosa kazi za kufanya,kila kukicha wanaisakama CCM yetu sasa nasema,wala wasikuumize kichwa Mh.Tambwe hawa CDM ni sawa na kelele za chura haziwezi kumzuia Tembo kunywa maji.!CCM ndio chama cha ukweli ....CDM nyie ni km watoto yenu nepi..! BIG UP Mh.TAMBWE...tuko pamoja nawe mpaka mwisho!KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
 
Wednesday, 01 June 2011 12:45 newsroom

NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeelezea kusikitishwa kwakwe na tuhuma zinazotolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Tundu Lissu kwamba imehusika katika mauaji ya wananchi katika mgodi wa Nyamongo, Tarime. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana, ilisema kuwa CCM haihusiki kwa namna yoyote na mauaji hayo na kwamba habari zilizoandikwa na gazeti la Tanzania Daima la Mei 30, mwaka huu, ni uzushi. "Tuhuma hizi ni nzito na za kusikitisha, lakini zinastahili kupuuzwa na wananchi wenye akili timamu, kwani mtoa habari hizo siku zote amekuwa ni mwongo," ilisema taarifa hiyo iliyotiwa saini na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Propaganda cha CCM, Richard Tambwe.

Tambwe alisema CCM kwa muda mrefu imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi inakuwa na amani na imekuwa ikifanya hivyo kabla CHADEMA haijaanzishwa, lakini ni mambo ya kusikitisha kuona kuwa chama hicho ndicho kimekuwa kikichangia kubomoa hali ya amani na utulivu uliopo.

Alisema Lissu amekuwa akitumia maneno ya uchochezi kwa sababu za kisiasa kwa nia ya kutaka kuungwa mkono na wananchi.
Aliliomba Jeshi la Polisi nchini kuendelea kuwatafuta wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika tukio la Tarime, wakiwemo viongozi ambao wamekuwa wachochezi.
Tambwe aliwakumbusha wananchi kuwa serikali iliyopo madarakani imetokana na CCM, ambayo ilishinda baada ya wananchi kuonyesha imani kwa Chama.

Ndiyo serikali hiyo ipo madarakani na inatumia dola kuua wananchi wake.
SAUTI KUBWA: CCM NI CHAMA CHA MAJAMBAZI, NI WAUAJI WAKUU HASA PALE WAKITAKA KUFICHULIWA UJAMBAZI WAO. KWA HERI.
 
Au Hiza Tambwe ambaye hukuzipuuza ukaamua kuzijibu umejiona kuwa huna akili timamu! Maana umetuomba wenye akili timamu tuzipuuze huku wewe hukuzipuuza ukazijibu!

Tukisema CCM hakuna mtu tutakuwa tunakosea kweli!

Je walipooua kule Pemba walikuwa Chadema ndio waliolianzisha! Mbona Tambwe uliwalaumu CCM walipoua Pemba!
Kweli CCM Wanatunza amani mpaka Chadema walipokuja ndipo wakaanza kuua!

kwa kuwa wenye akili timamu wanapaswa kuzipuuza hizi tuhuma, na kwa kuwa Tambwe hajaziipuuzia, hivyo ni ukweli wa kimantiki kuwa Tambwe hana akili timamu na ndo maana hajazipuuza. Du nimeipenda kaka. A purely logical truth. You are a trully great thinker mkuu
 
Wednesday, 01 June 2011 12:45 newsroom

NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeelezea kusikitishwa kwakwe na tuhuma zinazotolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Tundu Lissu kwamba imehusika katika mauaji ya wananchi katika mgodi wa Nyamongo, Tarime. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana, ilisema kuwa CCM haihusiki kwa namna yoyote na mauaji hayo na kwamba habari zilizoandikwa na gazeti la Tanzania Daima la Mei 30, mwaka huu, ni uzushi. "Tuhuma hizi ni nzito na za kusikitisha, lakini zinastahili kupuuzwa na wananchi wenye akili timamu, kwani mtoa habari hizo siku zote amekuwa ni mwongo," ilisema taarifa hiyo iliyotiwa saini na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Propaganda cha CCM, Richard Tambwe.

Tambwe alisema CCM kwa muda mrefu imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi inakuwa na amani na imekuwa ikifanya hivyo kabla CHADEMA haijaanzishwa, lakini ni mambo ya kusikitisha kuona kuwa chama hicho ndicho kimekuwa kikichangia kubomoa hali ya amani na utulivu uliopo.

Alisema Lissu amekuwa akitumia maneno ya uchochezi kwa sababu za kisiasa kwa nia ya kutaka kuungwa mkono na wananchi.
Aliliomba Jeshi la Polisi nchini kuendelea kuwatafuta wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika tukio la Tarime, wakiwemo viongozi ambao wamekuwa wachochezi.
Tambwe aliwakumbusha wananchi kuwa serikali iliyopo madarakani imetokana na CCM, ambayo ilishinda baada ya wananchi kuonyesha imani kwa Chama.
Kama CCM haihusiki then sio chama tawala automatic Slaa ndiye Rais wa Tanzania, Ni maajabu kwa CCM kukana majukumu pale wanapowekwa kwenye sport light. Anataka kudanganya umma kuwa ni CDM HATUDANGANYIKI. Kama ndiyo habari mlizopewa na Nyangweni, mkazichuwa kama zilivyo fikiria tena. Mbunge ameshindwa kuweka jamii pamoja kudai haki anasaidia kampuni kunyanyasa wananchi.
 
Na mwananchi mwenye akili timamu anajua kabisa kuwa CDM ndio walio chochea mauaji na kisha kujinufaisha kisiasa kwa kujitafutia umaarufu kwenye maiti
CDM Hawakuwepo na wala hawakumobilise jamii, baada ya serikali na mgodi kushindwa kuchukua hatua muhimu baada ya mauaji ndio CDM wakachukua initiatives.
 
tambwe kumbe hukujivua gamba na mumeo Makamda?

Na mwananchi mwenye akili timamu anajua kabisa kuwa CDM ndio walio chochea mauaji na kisha kujinufaisha kisiasa kwa kujitafutia umaarufu kwenye maiti
Ni Wananchi hao hao wenye akili timamu wanaofahamu kua CCM unawaibia kwa ufisadi wake,inauza migodi kwa faida ya mafisadi,Ni wananchi hao hao wenye akili timamu wanafahamu ya kwamba kelele za kero hazisikilizwi na Mafisadi wa CCM na badala yake wanatumia nguvu za dola kuwanyamazisha,ni wananchi haohao wanafahamu ya kua CCM mafisadi(Na CCM wenyewe wamekili hilo na sasa wanaangaika kujivua magamba}Kwa maana hiyo wa kupuuzwa ni hiyo mtoa kauli mwenyewe HIZA.:lying::lying:
 
Tambwe hiza mie nilifikiri naye ni gamba kumbe kweli sisiem bado inahangaika kutoka kaburini bado wanae hiyu *****.
 
unayejiita GENIUS BRAIN kabla ya kumwambia mh.lisu hivyo nenda kamwambie mamako na bako wakufiiiiiii---re ndio urudi hapa na kuongeya usenge wako
 
simple arthmetics; if A=B and B=C then A=C so if dola (serikali)=imeua na serikali=CCM then muuaji=CCM!!!

hivi hakuna mwenye busara miongoni mwao wa kuongoza kitengo cha propaganda?
 
Hivi huyu bado yupo ndani ya CCM?.........miye nilidhani alisepa na baba yake Makamba wakati wa magambalization ambayo hayaku gambalize hata hivyo!!!
 
Back
Top Bottom