CCM haifi tu kwa idadi ya wanachama kukimbia inakufa pia kiuweledi

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF watakubaliana na kuwa katika mtandao wetu huu pendwa hasa katika masuala ya siasa, wengi wetu tukiona ID ya mtu hata kabla ya kuangalia alichoandika uanajua moja kwa moja huyu ni mpenzi wa chama gani kati ya CCM na CHADEMA. Katika uchunguzi wangu nimegundua wapenzi wengi wa CCM humu hawapo Consistency (hawana kumbukumbu) wa wanayochangia kwenye mada zao mara nyingi hujichanganya kati ya yale waliondika kabla na michango yao ya mbeleni, mfano vijana wengi wa Lumumba nyuzi zao za nyuma waliaandika sana CHADEMA kuwa haina ubavu wa kumfukuza Zitto, cha kushangaza watu walewale badala kusimamia haja hiyo wamesahau kusimamia hoja yao kama vile hawajawahi kuandika hivyo. Hi ni tofauti na wapenzi wa CHADEMA ambao wanakumbukumbu na mada zao kabla na baada hazipingani. Wapenzi wengi humu wa CHADEMA wako analytical wanaongoza kwa mada za kufikirisha tofauti na mahasimu wao mada zao nyingi utasikia chama cha wachaga, mzinzi, aliiba sadaka, hana elimu. Kwa msingi huu usipate tabu kujua ni chama gani kinakufa tazama michango ya wapenzi wao hapa hapa JF.
 
Thank-You.jpg
 
Mwana Kijiji nilikuwa siku zote sijakuelewa , nimeamini wewe kweli ni "Great Thinker" Inafurahisha mtu unapoweza kuongea ukweli daima
 
Kiuwedi CCM ilisha kufa zamani ndiyo maana inakimbiwa na watu.Ndiyo maana imeunda serekali mbovu ambayo haina uwezo wa kuwatumikia wananchi ipasavyo mpaka wao wenyewe wameanza kuishambulia baada ya wananchi kuwashitukia.
 
Kweli wewe ni Great Thinker, Mada ya jana ya Mbowe ilikua too low kwa Magamba kujazana na kushadadia as ifi walimshikia Mbowe wakati anamlala huyo Mukya, huu ni upuuzi mkubwa sana kwa CCM
 
Magamba inatakiwa mupelekwe kwa TB Joshua mukafanyiwe maombi ili pepo wachafu waliojaa vichwani mwenu wawatoke.Ni CHADEMA gani ambayo unasema ifikapo mwaka 2015 itasambaratika kabisa?mbona mumesha sema kuwa CHADEMA haitafika mwaka 2015 itakuwa imesha kufa?au kuna CHADEMA nyingine zaidi ya hii.
 
Chama cha MIZIGO mbona kilishakufa zamani? walivyoacha tu kutekeleza ilani yao kwa kuwaletea watz maisha bora na badala yake kuanza kudili na CDM nikajua tayari chama cha zamani kwishinei! BURIANI MIZIGO.
 
Chama cha MIZIGO mbona kilishakufa zamani? walivyoacha tu kutekeleza ilani yao kwa kuwaletea watz maisha bora na badala yake kuanza kudili na CDM nikajua tayari chama cha zamani kwishinei! BURIANI MIZIGO.
acheni kunywa gongo nyie.
 
Back
Top Bottom