Elections 2010 CCM hadi kwenye maji?

Vakwavwe

JF-Expert Member
May 16, 2009
503
100
ktk pitapita yangu leo dsm nimeshangazwa kukuta mtu amebeba maji yenye nembo ya jembe na nyundo....kiukweli nimeshangazwa kwa kuwa mwenye kiwanda ameamua kujikomba na kutupilia mbali risk zinazoambana na kukampenia chama fulani wakati watu wengi tunakic DSC02364.JPG hukia chama hicho kuliko kawaida. kwa jinsi nilivyo siwezi kunywa maji hayo hata iweje...maji yenyewe ni Aquasomething,sikumbuki jina vizuri. DSC02364.JPG
DSC02365.JPG
 
Yes haya ni maji ambayo CCM wanayagawa bure kwenye kampeni kote nchini. Juzi nikiwa Zanzibar kwenye kampeni za JK, mimi na wageni wetu tulibahatika kukirimiwa maji hayo, kutokana na kiu tukajiwahi haraka haraka kupokea tukijua ndizo takrima ndogo ndogo zinazokubalika, ndipo nikanotice ni maji ya takrima kampeni nikawajulisha wageni wangu na sote tukayarudisha maji yao na kuwashukuru, tukaendelea kufuatilia na kiu zetu!.
 
ktk pitapita yangu leo dsm nimeshangazwa kukuta mtu amebeba maji yenye nembo ya jembe na nyundo....kiukweli nimeshangazwa kwa kuwa mwenye kiwanda ameamua kujikomba na kutupilia mbali risk zinazoambana na kukampenia chama fulani wakati watu wengi tunakicView attachment 15337hukia chama hicho kuliko kawaida. kwa jinsi nilivyo siwezi kunywa maji hayo hata iweje...maji yenyewe ni Aquasomething,sikumbuki jina vizuri.View attachment 15337
View attachment 15336

duu hawa mabwana si mchezo ndo watatoka madarakani kwa amani kweli hawa! KAZI IPO!
 
Nilisikia kuna kampuni moja ya Mwanza. Sijui ni ipi hiyo lakini nakumbuka kumsikia mwekezaji huyo akijisifia kuwa ni "biashara" na ujasiliamali ili maji yake yatoke. Kwake yeye CCM ilikuwa na wapenzi wengi hivyo wangenunua hayo maji.

Jamani, mbona tunaweza kumfilisi kwa kususia maji yake?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom