Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 852
Well, Tangu JK aingie madarakani na rafiki zake akuno lolote lile ambalo keshalifanya kwa ajili ya our national Interest be it domestically au Internationally. Najua wengi watashangaa kwa nini nina advocate hii concept lakini ukweli ni kuwa mimi kwenye hili niko kwenye school of thought ya Hans Morgenthau na cha ajabu Membe naye ni shabiki sana wa hii real politik and political realism.
So far tangu hawa CCM wachukue nchi naweza ku argue kuwa kama ambavyo CHADEMAalivyokuwa hawawezi kuwa trusted with our national Security hawa CCM hatuwezi kuwa trust with our national interest kwani at the heart of CCM ni hiyo personal gains za watawala. Kama mjuavyo the root of the idea of the national interest ni principle of national security and survival so far what we have is a house of cards built by CCM ambao wamesahau ilani yao ya uchaguzi ya kila Mtanzania kuwa na maisha bora na sasa hivi inaonekana kitu kinacho wa keep bize ni UFISADI usiku na mchana.
Haya ndio matitizo ya kuwaachia ma Idealists waka run nchi..kila kitu kimeoza to the core. Na few realists kama akina Membe nao wamebaki kama wendawazimu kwani influence yao haina maana yoyote ile...lakini ndio yale yale kipovu anamwonyesha njia kipofu mwenzie