BASHADA
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 513
- 148
Jamani,
Mwenendo wa CCM aka Magamba sio mzuri, waliungana na waliofunga nao ndoa na kuendekeza chuki dhidi ya Chadema, sasa Mungu amewajibu wamegeukiana wao kwa wao.
Pili kila mbinu wanayobuni Chadema wanavumbua mapemaaaaaa!! Sasa wamebanwa na jamba jamba hawajui hata wafanyaje. Wametumia uislamu wakidhani utasaidia kumbe wananchi wameshawashtukia zamani!! Wamepanga njama kuwavamia Chadema, wameshtukiwa mapema.
Tuseme nini basi? CCM kubalini munyooshe mikono juu please surrendor yourself kubalini kushindwa. Mmeleta silha zooote mpaka zile zilizoexpire mkazipeleka jalalani, leo mmezikumbuka lakini bado hazifanyi kitu, wako wapi akina Mangula, Mkapa, Malecela etc.
Shame to you