CCM dhambi ya ubaguzi imeanza kuwatafuna, very soon watajizika wenyewe

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
147
Jamani,

Mwenendo wa CCM aka Magamba sio mzuri, waliungana na waliofunga nao ndoa na kuendekeza chuki dhidi ya Chadema, sasa Mungu amewajibu wamegeukiana wao kwa wao.

Pili kila mbinu wanayobuni Chadema wanavumbua mapemaaaaaa!! Sasa wamebanwa na jamba jamba hawajui hata wafanyaje. Wametumia uislamu wakidhani utasaidia kumbe wananchi wameshawashtukia zamani!! Wamepanga njama kuwavamia Chadema, wameshtukiwa mapema.

Tuseme nini basi? CCM kubalini munyooshe mikono juu please surrendor yourself kubalini kushindwa. Mmeleta silha zooote mpaka zile zilizoexpire mkazipeleka jalalani, leo mmezikumbuka lakini bado hazifanyi kitu, wako wapi akina Mangula, Mkapa, Malecela etc.

Shame to you
 
Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,887
1,190
Baada ya kuwapeleka Igunga wastaafu wote na kuonekana hakuna mafanikio katika kuyabadili mawazo ya wananchi wanaohitaji mabadiliko, ccm sasa inafikiria kuwapeleka marehemu kama mwl Nyerere, Kolimba na Sokoine wakaokoe jahazi!
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
61,206
124,480
Jamani,
Mwenendo wa CCM aka Magamba sio mzuri, waliungana na waliofunga nao ndoa na kuendekeza chuki dhidi ya Chadema, sasa Mungu amewajibu wamegeukiana wao kwa wao. Pili kila mbinu wanayobuni Chadema wanavumbua mapemaaaaaa!! Sasa wamebanwa na jamba jamba hawajui hata wafanyaje. Wametumia uislamu wakidhani utasaidia kumbe wananchi wameshawashtukia zamani!! Wamepanga njama kuwavamia Chadema, wameshtukiwa mapema.
Tuseme nini basi? CCM kubalini munyooshe mikono juu please surrendor yourself kubalini kushindwa. Mmeleta silha zooote mpaka zile zilizoexpire mkazipeleka jalalani, leo mmezikumbuka lakini bado hazifanyi kitu, wako wapi akina Mangula, Mkapa, Malecela etc. Shame to you
Tena lile zengwe la mama Kimario a.k.a DC ndo linawatafuna mwenyewe baada ya kudhibitika kuwa huyu DC ni Mkatoliki na anafuga mbuzi katoliki kwenye shamba lake la tegeta na mume wake Mr.Kimario ambaye ni mzee wa kanisa katoliki. CCM kupitia BAKWATA wanaumbuka sasa.
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,100
2,792
Acheni upupu wenu hapa.Dhambi lenu ni kumburuta kama mbuzi huu si utanzania.SOMA MAKALA YA DILUNGA,RAIA MWEMA UTAPATA UKWELI.SIO KUSHABIKIA UPUPU HAPA.CCM KITENDELEA KUONGOZA HATA MIAKA 50 IJAYO KWASABABU YA UJINGA HUU WA VYAMA VYA UPINZAANI.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
61,206
124,480
Acheni upupu wenu hapa.Dhambi lenu ni kumburuta kama mbuzi huu si utanzania.SOMA MAKALA YA DILUNGA,RAIA MWEMA UTAPATA UKWELI.SIO KUSHABIKIA UPUPU HAPA.CCM KITENDELEA KUONGOZA HATA MIAKA 50 IJAYO KWASABABU YA UJINGA HUU WA VYAMA VYA UPINZAANI.
Kama umepanic ivi, anyway jina lako linasadifu kilichomis kichwani mwako.
 
Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Walikuwepo akina Mafilili, Ritz. Rejeo, malaria Sugu na Mwita25 wamenyoosha mikono we ndo umejitokeza saa hizi unajifanya gamba lililoganda utanyoosha tu mikono mda si mrefu.Acheni upupu wenu hapa.Dhambi lenu ni kumburuta kama mbuzi huu si utanzania.SOMA MAKALA YA DILUNGA,RAIA MWEMA UTAPATA UKWELI.SIO KUSHABIKIA UPUPU HAPA.CCM KITENDELEA KUONGOZA HATA MIAKA 50 IJAYO KWASABABU YA UJINGA HUU WA VYAMA VYA UPINZAANI.
 
Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,503
3,832
Tena lile zengwe la mama Kimario a.k.a DC ndo linawatafuna mwenyewe baada ya kudhibitika kuwa huyu DC ni Mkatoliki na anafuga mbuzi katoliki kwenye shamba lake la tabata na mume wake Mr.Kimario ambaye ni mzee wa kanisa katoliki. CCM kupitia BAKWATA wanaumbuka sasa.

Hawa nguruwe wa Mzee Kimario Bakwata wana shea. Mufti simba ana mgao wake hapo.
.
 
Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
310
Baada ya kuwapeleka Igunga wastaafu wote na kuonekana hakuna mafanikio katika kuyabadili mawazo ya wananchi wanaohitaji mabadiliko, ccm sasa inafikiria kuwapeleka marehemu kama mwl Nyerere, Kolimba na Sokoine wakaokoe jahazi!
Hapo itashinda

Acheni upupu wenu hapa.Dhambi lenu ni kumburuta kama mbuzi huu si utanzania.SOMA MAKALA YA DILUNGA,RAIA MWEMA UTAPATA UKWELI.SIO KUSHABIKIA UPUPU HAPA.CCM KITENDELEA KUONGOZA HATA MIAKA 50 IJAYO KWASABABU YA UJINGA HUU WA VYAMA VYA UPINZAANI.
Maneno yako hayatoki moyoni, yaani unachikiongea hakifani na unacho waza wala kuamini

Hawa nguruwe wa Mzee Kimario Bakwata wana shea. Mufti simba ana mgao wake hapo.
.
Teee teee teee teee teee teee teeee
 
Sanja

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
499
223
Acheni upupu wenu hapa.Dhambi lenu ni kumburuta kama mbuzi huu si utanzania.SOMA MAKALA YA DILUNGA,RAIA MWEMA UTAPATA UKWELI.SIO KUSHABIKIA UPUPU HAPA.CCM KITENDELEA KUONGOZA HATA MIAKA 50 IJAYO KWASABABU YA UJINGA HUU WA VYAMA VYA UPINZAANI.
siku zote tutabaki kuwa na matatizo hilo liko wazi kwani tu binadamu na hatujakamilika ila ni bora mkawa na matatizo huku mkiwa na dhamira ya pamoja, wananchi na viongozi na si kundi dogo lililo jitungia utaratibu wa kujifungia na kula jasho la mwananchi kwa jina la viongozi. Comment kama hizi huwa hazi dhofishi upinzani bali kuvuta umakini wa wahusika na audience kuweza kupima yupi wa kuchagua kati ya makusudi na bahati mbaya.
 
Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,189
Ama kweli ajizi nyumba ya njaa; CCM kumbe walikua wamewaingiza porini kabisa baadhi ya ndugu zetu Waislamu kwa taarifa za uongo kama hivi???

Kwa kweli sikujua kwamba ni yule yule mama Kimario jirani yetu kule Mbezi ndiye aliyekua akizungumziwa muda wote.

Jamani yule mama wala si Muislamu ni mkristo safi tena Mzee wa Kanisa pale Wazo, duuuhh hawa jamaa jamani!!!!!!

JF team tayari ilishazuru kule kwenye shamba lake la pili kule Tegeta na picha zote za shamba lake tayari ziko hewani JF kusaidia kuthibitisha ukweli kwamba kasingiziwa na CCM taarifa hizo hapo juu.

Mpaka hapa sasa sijui kwamba BAKWATA watalazimika kuitisha mkutano mwingine kukana taarifa zao za awali juu ya huyu mama.

Jamani
si kila Fatuma ni Muislamu WAKATI MWINGINE NI JINA TU LA UKOO hivyo kukimbilia kutolea tamko hata mtandio tu wa urembo mtu eti ni hijabu ni makosa sana tu.

Hijabu sisi sote tunaifahamu na kuiheshimu sana; kwa kawaida hutanda kichwani hadi miguuni tena kushitiri mwili mzima sembuse kale ka ulimi wa ng'ombe aliojitupia Mama Kimario kuwahi kwenye kutengeneza misheni za kura zisizoibika Igunga???????????
 
MPG

JF-Expert Member
May 12, 2011
483
53
CCM ni chama cha majambazi,wauza unga,wasio kuwa na fikra,wanaowaza kwa kutumia makamasi kufikiri badala ya akili
 
Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,576
1,091
Baada ya kuwapeleka Igunga wastaafu wote na kuonekana hakuna mafanikio katika kuyabadili mawazo ya wananchi wanaohitaji mabadiliko, ccm sasa inafikiria kuwapeleka marehemu kama mwl Nyerere, Kolimba na Sokoine wakaokoe jahazi!

Mkuu don't go too low like this. Tuwaache waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani kwani sisi wote hatma yetu ni hiyo hiyo. Hapa nakupa thumb down mkuu. Ni kweli CCM imebanwa ila tusivuke mipaka na kujisahau kuwa sisi hapa JF ni nani hasa. We are more than this kind of stuff!
 
Papa1

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
2,015
2,201

Nafananisha maneno ya liyowahi kusemwa na P.W. Botha wa South Africa kama CCM wanavyotuambia wananchi na ukawa.

....We (ccm) are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the Blacks (wananchi) that we are superior people. We have demonstrated that to the Blacks (wananchi) in 1001 (so many) ways.

The (United) Republic of South Africa (Tanzania) that we know of today has not been created by wishful thinking. We have created it at the expense of intelligence (juhudi za muasisi Nyerere), sweat (Mapinduzi ya Zanzibar) and blood (Vitisho)...We do not pretend like other Whites (democratic countries) that we like Blacks (ukawa).
The fact that Blacks (ukawa) look like human beings (ccm) and act like human beings (ccm) do not necessarily make them sensible human beings (sensible parties). Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles simply because they look alike (Kwamba ccm nitofauti na vyama vingine ingawa vyote vimesajiliwa). If God (Wananchi) wanted us to be equal to the Blacks (ukawa), he (they) would have created (they would have lected ukawa as they did to CCM) us all of a uniform colour and intellect. But he (they) created us (elected us ccm) differently: Whites (ccm) and Blacks (ukawa), Rulers and the ruled. Intellectually, we (ccm) are superior to the Blacks (ukawa); that has been proven beyond any reasonable doubt over the years. I believe that the African (ukawa) is an honest, God fearing person, who has demonstrated practically the right way of being...

By now every one of us has seen it practically that the Blacks (ukawa) cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, (Maandamano), marrying many wives (Kuhamasisha maandamano) and indulging in sex; the leisure of those who cannot think. Let us all accept that the Black man (ukawa) is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence.

Isn't it plausible? Therefore that the White man (ccm) is created to rule the Black man (ukawa)......

And here is a creature (black man) (ukawa) that lacks foresight.... The average Black (ukawa) does not plan his life beyond a year
 
chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,696
4,938
You have done actually....something useful to all with good faith with this country.....
 
Abunuas

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
8,822
1,818
haya maneno ya botha kila nikyasoma huwa siyamalizi. du!
Nafananisha maneno ya liyowahi kusemwa na P.W. Botha wa South Africa kama CCM wanavyotuambia wananchi na ukawa.

....We (ccm) are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the Blacks (wananchi) that we are superior people. We have demonstrated that to the Blacks (wananchi) in 1001 (so many) ways.

The (United) Republic of South Africa (Tanzania) that we know of today has not been created by wishful thinking. We have created it at the expense of intelligence (juhudi za muasisi Nyerere), sweat (Mapinduzi ya Zanzibar) and blood (Vitisho)...We do not pretend like other Whites (democratic countries) that we like Blacks (ukawa).
The fact that Blacks (ukawa) look like human beings (ccm) and act like human beings (ccm) do not necessarily make them sensible human beings (sensible parties). Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles simply because they look alike (Kwamba ccm nitofauti na vyama vingine ingawa vyote vimesajiliwa). If God (Wananchi) wanted us to be equal to the Blacks (ukawa), he (they) would have created (they would have lected ukawa as they did to CCM) us all of a uniform colour and intellect. But he (they) created us (elected us ccm) differently: Whites (ccm) and Blacks (ukawa), Rulers and the ruled. Intellectually, we (ccm) are superior to the Blacks (ukawa); that has been proven beyond any reasonable doubt over the years. I believe that the African (ukawa) is an honest, God fearing person, who has demonstrated practically the right way of being...

By now every one of us has seen it practically that the Blacks (ukawa) cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, (Maandamano), marrying many wives (Kuhamasisha maandamano) and indulging in sex; the leisure of those who cannot think. Let us all accept that the Black man (ukawa) is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence.

Isn't it plausible? Therefore that the White man (ccm) is created to rule the Black man (ukawa)......

And here is a creature (black man) (ukawa) that lacks foresight.... The average Black (ukawa) does not plan his life beyond a yea
r
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,954
12,517

This is very humiliative and isultive speech to all blacks of that times!!...Huyu jamaa na wenzake wanaonekana walikuwa makataili sana dhidi ya mtu mweusi wakati ule!...Sijui hii Botha alitoa mwaka gani na ilkiuwa katika tukio lililokuwa linahusu nini. Anyhow, alikuwa amevimbiwa na hali ya ubinadamu wake wa kizungu kupita maelezo!!

Na kama CCM nao wanatuchukulia wananchi kwa namna hii kuwa sisi ni dhalili na watupu basi wamevuka mipaka na hakika hawana tofauti na makaburu hawa na watapotea kama ambavyo kizazi cha P.W.Botha kilivyopotea.

Na kwa kauli zao,hotuba zao na mienendo yao hawa CCM na allies wao, maudhui yake hayana tofauti na maudhui yaliyomo ktk speech ya huyu jamaa aliyekuwa anawawakilisha wazungu wachache wa South Africa ya wakati ule sawasawa na CCM ya sasa inayodhani inawakilisha majority ya wananchi wa Tanganyika na Zanzibar!!

Poor CCM!!
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
18,099
11,918
Kuna mbunge mmoja alisikika siku za karibuni akitoa kauli za kibaguzi na kichochezi katika bunge la katiba (BMK) na kushangiliwa sana na wabunge wa CCM. Nilishangaa sana kuona wabunge wenye akili zilizotimia wakishabikia dhambi hii ya ubaguzi. Huyu ni mbunge wa CCM kutoka upande wa Zanzibar. Alisikika waziwazi akisema kwamba mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika katika kisiwa cha Unguja na kwamba kule Pemba ilipelekwa bendera tu. Hakuishia hapo tu-aliendelea kuapa kwamba wale wasiotaka Muungano wa serikali mbili warudi "kwao". Aliendelea zaidi kudai kwamba hati ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar imepatikana, sasa hao watu (Wapemba) aliowataka warudi kwao (Uarabuni) sasa waanze kudai hati ya Unguja na Pemba. Na safari zote alipokuwa akitamka maneno haya alikuwa akishangiliwa kwa nguvu sana na wanaCCM wenzake!

Kauli za chuki na za kibaguzi kama hizi sio za kushangilia wala kushabikia hata kidogo. Inakuwaje wana-CCM wamshangilie mtu anayetaka kubomoa umoja na mshikamano wetu badala ya kumkemea eti kwa sababu ni "mwenzao" na kwa kigezo kwamba wao ndio wanaotawala na hakuna mtu wa kuwahoji? Nchi hii ikimwaga damu kwa sababu ya kauli za kiintarahamwe kama hizi ni nani atakyebaki salama? CCM mnapaswa wakati mwingine kujifunza kutumia akili badala ya kutumia viungo tofauti na ubongo. Mmepewa akili mzitumie kuchanganua mambo sio kufugia nywele!

Sasa endeleeni kuchezea amani, siku likibumbuluka msitafute mtu wa kumlaumu. Hatuwezi kuvumilia kuona wajinga wachache wakiitumbukiza nchi katika vita huku tukiwa tumekaa kimya. Ni wazi vita ikitokea ktk nchi hii watakaoathirika ni wananchi masikini wasiokuwa na uwezo wa kuikimbia nchi. Watu wa CCM mmeishavuna pesa za kutosha kupitia kwenye ufidsadi. Ikitokea vita mtapanda ndege na kukimbilia nje ya nchi. Mistake kupalilia chokochoko ambazo zitakuja kugharimu maisha ya walalahoi huku watoto wenu mkiwatorosha kwenda nje ya Tanzania.

Tafakari, chukua hatua!
:yield:
 
4 Reactions
Reply
Top Bottom