Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Hilo ndio jina la kauli mbiu ,Sultani CCM wakitaka wasitake ndilo linalowafaa wafuasi wa CCM ,halina mbadala ,japo nimesikia jana kwenye mkutano wa Tawi wakionya watu eti atakae sikika akisema au akikiita Chama Cha CCM Sultani CCM basi ataishia jela ,mi nikatoa sauti Wacha kutisha watuu ,wahudhuriaji walikuwa wengi hivyo hakuweza kujua sauti imetoka wapi akabakia sawa kama ninatisha watu.sultani CCM,sultani CCM.Utakalia hayohayo ya Sultani CCM,Sulatni CCM na 2010 ndo hiyoooo inakaribia...Otherwise CCM itaendelea kuwa 'pamwanya'