Elections 2010 CCM damu lakini kura yangu CHADEMA

amba.nkya

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
446
131
WanaJF, ningependa kubainisha wazi kuwa nimekuwa mwanachama wa CCM lakini nimeamua kwa hiari yangu kabisa kutumia haki yangu ya kikatiba kumpigia kura Dr Slaa (Urais) na Bw Mnyika (Ubunge). Nimeamua hivyo kwasababu za makusudi kutokana na ukweli kwamba CHADEMA kwa ujumla wameonyesha nia ya dhati kuleta maendeleo na kujali maslahi ya mnyonge. Ingawa kura ni siri yangu lakini ukweli na msimamo wangu ndio huo na Mungu atanihukumu kama nitafanya tofauti siku ya 31/10/10. MUNGU ibariki Tanzania.
 
Waambie na marafiki, ndugu na jamaa wanakuzunguka wasikose kupiga kura na kura zote CHADEMA!!!
 
Waambie na marafiki, ndugu na jamaa wanakuzunguka wasikose kupiga kura na kura zote CHADEMA!!!

Kiraka, marafiki, ndugu na jamaa wote nimewaambia na ninaendelea kuwahamasisha waichague CHADEMA, nashukuru wapo pamoja nami. Mungu ibariki TZ.
 
japo ni siri yangu lakini kwa maslai ya taifa ni vyema kutangaza hadharani jamni kura zetu zote kwa slaa na madiwani na wabunge wote wa chadema ukikosa wa chadema mpe yeyote wa upinzani
 
hata mimi inatambulika wazi kuwa ntampigia DR SLAA pamoja na MNYIKA, tupo pamoja amba
 
..... Fikra zako zitazaa matunda mazuri.... Piga Kura yako kwa Dr.wa ukweli.:A S 465:
 
Back
Top Bottom