CCM, CUF waungana kusherehekea ushindi Dodoma

Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,768
3,232
Nimetokea Manyoni nakutana na msafara wa CCM Ma land cruiser manne na katikati Gari kenye bendera ya CUF Likiongozwa na hardtop ya CCM ikiwa na matangazo ya ushindi kwa CCM Igunga , huku wakiwa nduki kweli kweli my take ndoa yao ndio imekolea mpaka wanaongozana kwenda Dodoma ofisi za CCM kuenjoy ushindi wa dhuluma
 
Jamani tusivuke mipaka pamoja na usaliti wote wa Cuf.Kama ni kweli weka picha.
 
Cherekochereko hizo za ndoa yao,isingekuwa busara cuf kusherekea asilimia 4 tu walizozipata,thus dhahiri inaonesha wameoana kwelikweli na si matani
 
Kungekuwa na kapicha kidogo ingekuwa safi,lakini sishangai kwa sababu hata baada ya uchaguzi mkuu 2010, CUF walienda kumpongeza na kusherehekea ushindi wa ****** magogoni,hivyo si kitu kipya ni used.
 
Mtoa mada nikikuita mnafiki,mzandiki,mfitini na muongo mkubwa nitakua nimekosea?kama kweli wekapicha utuoneshe hiyogari yenye bendera ya cuf ktk msafara wa ccm,wewe ni mzandiki.
 
NImekumbuka sana ule wimbo wa zamani ........"Bibi na Bwana wakigombana (chukua jembe kalime) waache wenyewe mwisho wataelewena eeehhhh!!!

Ugomvi ushaisha na sasa washaelewena ni kusherehekea tu pamoja....
 
Mtoa mada nikikuita mnafiki,mzandiki,mfitini na muongo mkubwa nitakua nimekosea?kama kweli wekapicha utuoneshe hiyogari yenye bendera ya cuf ktk msafara wa ccm,wewe ni mzandiki.
Hivi kweli wewe hujui ama hutambui hiyo ndoa ama unatoa maneno tu,uliza basi kwanza ueleweswe usibishe ovyo uliza wana Jf watakupa dada wamo wanafahamu vizuri tu.
 
CUF si ni CCMb watafuti Tanzania bara kutokana na udini wao ngoja wananchi wafahamu hila zao.
 
Wanandoa hao wanasherekea uchakachuaji walioufanya ........
 
Nimetokea Manyoni nakutana na msafara wa CCM Ma land cruiser manne na katikati Gari kenye bendera ya CUF Likiongozwa na hardtop ya CCM ikiwa na matangazo ya ushindi kwa CCM Igunga , huku wakiwa nduki kweli kweli my take ndoa yao ndio imekolea mpaka wanaongozana kwenda Dodoma ofisi za CCM kuenjoy ushindi wa dhuluma
Mnafiki hajifichii.
 
Kwani kuna ubaya? Mbona kuna ndoa ya Tanganyika kuolewa na Zanzibar? nasemaa kuolewa na Zanzibar kwa kuwa baada ya ndoa jina Tanganyika limekufa na Zanzibar lipo. Na nnavojuwa tabia za wenzetu wanaojidai wameendelea ukiolewa unafuta jina lako na linabaki la mume tu.
 
Back
Top Bottom