Nimetokea Manyoni nakutana na msafara wa CCM Ma land cruiser manne na katikati Gari kenye bendera ya CUF Likiongozwa na hardtop ya CCM ikiwa na matangazo ya ushindi kwa CCM Igunga , huku wakiwa nduki kweli kweli my take ndoa yao ndio imekolea mpaka wanaongozana kwenda Dodoma ofisi za CCM kuenjoy ushindi wa dhuluma