CCM chunguzeni kitengo cha Propaganda

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,800
8,781
Kitengo cha Propaganda ni muhimu sana kwenye siasa.

Kama mtakumbuka 2015 CCM ilikuwa na akina January Makamba na Nape waliweza kupangua hoja toka CDM kwa nguvu zote. Lakini yaliyowakuta hao jamaa kila mtu anajua.

2020 yupo Polepole ukweli kashindwa kabisa kumkabili Tundu Lisu ambaye nae kitengo chake cha Propaganda hakina ushawishi.

TAL ni jeshi la mtu mmoja anapiga, anakera anamtibua kabisa Magu kiasi cha kuanza kicheza muziki wake. TAL ni akili kubwa imeweza kuwalazimisha CCM wamjibu kitu ambacho kama CCM wasipoangalia wanaenda kuingia katika hatua ngumu sana kwenye ngwe ya mwisho ya kampeni.

Polepole ajitafakari.
 
Polepole ilikuwa kosa tangu uteuzi, mbona Bashiru haongei atakuwa msaliti, cheo cha polepole kinahitaji vuvuzelas na public appealing kila mtu ajipiganie hatuna energy za kuwapigania wajibebe
 
Na kila mwenye kinyongo huu ndio wakati wake Magufuli na timu yake wajipange kweli kweli.
 
Kitengo cha Propaganda ni muhimu sana kwenye siasa. Kama mtakumbuka 2015 CCM ilikuwa na akina January Makamba na Nape waliweza kupangua hoja toka CDM kwa nguvu zote. Lakini yaliyowakuta hao jamaa kila mtu anajua. 2020 yupo Polepole ukweli kashindwa kabisa kumkabili Tundu Lisu ambaye nae kitengo chake cha Propaganda hakina ushawishi. TAL ni jeshi la mtu mmoja anapiga, anakera anamtibua kabisa Magu kiasi cha kuanza kicheza muziki wake. TAL ni akili kubwa imeweza kuwalazimisha CCM wamjibu kitu ambacho kama CCM wasipoangalia wanaenda kuingia katika hatua ngumu sana kwenye ngwe ya mwisho ya kampeni. Polepole ajitafakari.
TAL ni tunda halisi la Upinzani wakati halfrey ni mhamiaji haramu ccm

Jr
 
Niliwahi Kuandika humu jf...
Hao vijana walumumba B7 Ni utopolo mtupu hawajui kujibu kwa hoja wao matusi tu, hawajui propaganda kwakuwa Ni vilaza...

Mwisho nikaandika siku za kuwepo Polepole Kama kiongozi wa uenezi habari zinahesabika...
 
Kitengo cha Propaganda ni muhimu sana kwenye siasa. Kama mtakumbuka 2015 CCM ilikuwa na akina January Makamba na Nape waliweza kupangua hoja toka CDM kwa nguvu zote. Lakini yaliyowakuta hao jamaa kila mtu anajua. 2020 yupo Polepole ukweli kashindwa kabisa kumkabili Tundu Lisu ambaye nae kitengo chake cha Propaganda hakina ushawishi. TAL ni jeshi la mtu mmoja anapiga, anakera anamtibua kabisa Magu kiasi cha kuanza kicheza muziki wake. TAL ni akili kubwa imeweza kuwalazimisha CCM wamjibu kitu ambacho kama CCM wasipoangalia wanaenda kuingia katika hatua ngumu sana kwenye ngwe ya mwisho ya kampeni. Polepole ajitafakari.
art of public speaking sio sawa na kujadili mada za katiba mpya channel ten.
 
Magufuli avitimue hivi vibabu viwili polepole na Bashiru wake maana vimempoteza sana Magufuli katika ushauri
 
Lissu anawaendesha lumumba wote, Polepole na Magufuli, yupo Majaliwa, Samia wote hawa wanafanya kampeni lakini wapi, Lissu anawaburuza tu, naskia wanataka kuwaongeza Kikwete, Sumaye, na Lowassa, nao watapigwa vilevile, Lissu ni mwisho wa mambo yote.
 
Back
Top Bottom