Jobongo
New Member
- May 19, 2017
- 4
- 219
Kwa jinsi mambo yanavyoenda tangu Rais Magufuli aingie madarakani ni wazi kabisa CCM si salama tena.
Kitendo cha kutumbuliwa Nape, Kitwanga, Muhongo na wengine wengi ni wazi sasa kuwa kama wewe ni mwizi ndani ya CCM ni bora ukajitoa haraka na kukimbilia kule ambako wezi na mafisadi hutetewa na kusafishwa.
Kwa hili niwapongeze Lowassa na Sumaye kwa kusoma alama za nyakati mapema na kukimbilia CHADEMA.
Ni ushauri tu hata wezi wachache mliobaki tokeni haraka CCM na mkimbilie CHADEMA, vinginevyo Moto utawawakia.