Ccm chama na serikali tuna hataji majibu ya kina juu ya tuhuma hizi za kifisadi zinazo wakabili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm chama na serikali tuna hataji majibu ya kina juu ya tuhuma hizi za kifisadi zinazo wakabili.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Mar 18, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wana jamvi nawasalim wota na pia naomba kutoa kilicho kifuani mwangu.
  nina maswali machache sana ila ninahitaji majibu ya kina kutoka kwa kiongozi yeyote wa ccm atakayeona inamhusu.

  nikianza na uongozi wa juu kabisa wa chama na serikali,na wengine walio husika DR,KIKWETE,LOWASA,PINDA,MAKAMBA,BATILDA BURIANI,MUKAMA NA MZEE WA MATRILIONI.wote hawa wanalifahamu hili tene kwe kina.
  Napenda kujua zile pesa zaidi ya bilioni mbili na nusu mlizochota kwenye akaunti ya JWTZ hapa arusha kwaajili ya kuwasaidia kwenye kampeni za uchaguzi mkuu hapa arusha mjini na arumeru kwa maruhemu sumari na hìi ilisababisha vijana kuishi kwa shida na kukosa mahitaji muhimu vipi waheshimiwa mlisha zirudisha??
  Tunafahamu kwa kina kuwa swala hali ndilo lililo myima raha DR,KIKWETE na kumfanya myonge alipouzuria mahafali hapa MONDULO mwaka jana mwishoni.baada ya waheshimiwa kutishia kumwaga ugali,tafazali tunahitaji majibu.


  LOWASA:

  Mwarusha wa arumeru uliye lowea umasaini,tunajua kuwa wewe na UHURU KENYATA ni marafiki wa kibiashara wa muda mrefu lakini ulicho tufanyia hapa ARUSHA na TANZANIA kwa ujumla hakistahili.

  Tunafahamu kuwa wewe na huyo mshirika wako ndio mlio filisi kiwanda cha matairi cha (jenero tairi)hapa arusha na mkakimbilia kenye ambapo mlifungua kiwanda kingine cha matairi cha ( YANA ) unaweza kutu eleza sababu ya kutufanyia unyama huo sisi WATANZANIA wenzako??

  Bado hamkuishia hapo mkachukua kiwanda cha maziwa cha hapa urusha na pumpatia UHURU KENYATA kwa ahadi ya kukifufua lakini ikawa kinyume chake, kwani tunajua mashine zilizokuwa ndani mliziondoa na kuzipeleka tusiko kujua,na kugeuza kiwanda kuwa ghala la kuhifazia maziwa kutoka kiwanda cha ( BRUKSAIDI )ya kenya na kinamilikiwa na huyohuyo UHURU KWENYATA pamoja na wewe LOWASA.

  Je? Ikitokea siku moja tukakupa hi nchi si utatuuzia ndani????!!

  Kwetu kuna msemo unasema ( ukiona mbwa anaiba nyumbani ujue anakaribia kufa)

  asanteni nawasilisha
   
 2. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Mkuu kama kweli mambo haya niyakweli basi huyu jamaa ni noma! To be honest nilikuwa ninamuona kama anaonewa kwenye ile ishu ya richmond kumbe yuko deep kiasi hiki. Nimeona thread moja hapa mzee wa kuuchapa usingizi mjengoni anasema Dr. Slaa (PhD) si msafi, sasa mimi nikawa najiuliza Dr. Slaa (PhD) si msafi compared to who in ccm?
   
 3. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  tulishawazoea ccm ni mafisadi wa kutupwa subiri 2015 tunawanyang'anya nchi.
   
 4. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hili la Uhuru kushiriki ni muhimu kwa sisi Wakenya maana ameleta nyumbani ila Lowasa ambaye alitakiwa kutunza mali ya Wtz amewasaliti. Huu ushirikiano wa Afrika Mash ni faida kwa Kenya lakini Tz ni hasara kubwa
   
 5. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  General tyre Lema ndiyo amekipigania mpaka wameshindwa kukichukua walikifilisi makusudi ili wakichukue mpaka wakubwa hapo walijiuzia magari $ 100 tu.
   
 6. C

  Conso's son New Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe?!
   
 7. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kumbe haya maziwa bruksaid ni ya mafisadi!! shabash! ndio maana vijana wa kimeru wameacha kupeleka maziwa arusha mjini.
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Waje hapa watoe majibu tujue ukweli maana haya ni madai mazito na wasikae kimya Nape simuoni hapa jamvini au baada ya hadithi ya kujivua gamba kusitishwa?
   
 9. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hakuna kosa kubwa kama kujenga mazoea katika mambo makubwe hivi
   
 10. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ndugu na atakae tetea upuuzi hu atakua na akili za maiti
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kiwanda cha maziwa ar kuwa goodwn ni sababu tosha ya wameru kuwanyima ccm kura,hembu fikiri maziwa wanauza wapi?
   
 12. v

  vngenge JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Serikali ina mkono mrefu sio rahisi hili kuwa kweli limetokea kwani tuna taasisi nyeti zilizo na watu mahiri walio tayari kwa lolote kutetea maslahi ya Taifa. Tena inaongozwa na watu wenye uaminifu uliotukuka usio na shaka wala doa wasingeweza kufumbia macho hili, Mtoa mada jipange upya
   
 13. p

  pazzy Senior Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
   
Loading...