kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Yapo mambo yanayoitwa propaganda katika siasa, zamani propaganda hazikuitaji Sana ushahidi lakini Leo kila kitu kina ushahidi hivyo ukizungumza jitahkdi Sana kuwafikirisha watu.
Huyu Bwana Musiba alianza kidogo kidogo tukadhani anatusaidia ila Sasa hivi anakera,wazee na akina mama wanakereka na maneno yake...anatumia vibaya media alizokabidhiwa kuwatukana watanzania wengine na hivyo kuifanya serikali kuonekana ina double standards.
Ni kweli kwamba CCM imebaki na akina Musiba?Chama Dola kinaweza kuinvest kwa mtu Kama huyu? Bora akae kimya tuishi bila propaganda kuliko kuwa na mtu Kama huyu.Ukimsikiliza Sana utagundua anaudhalilisha uongozi wa Juu wa nchi yetu hasa pale anapotumia majina na vyeo vya viongozi wetu na wao wanakaa kimya.
Anatumia vibaya jina la Rais na hapa msemaji wa serikali lazima amkemee maana adhi ya Rais kuingizwa kwenye press zenye matusi na zisizo na hata chembe ya ustaarabu ni kumkosea heshima Rais.Ifike mahali atenganishe matumizi ya jina la Mhe.Rais na mambo mengine. Tusipoweza kukemea Leo tunawapa wenzetu uwanja wa kujipanga kujibu ambapo naamini wao watatumia watu wenye akili timamu na pona yetu itakuwa kuwakamata na kuwafungulia mashtaka Ila tumeyataka wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app