CCM chali Makete! Ni ktk uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji

Nillsha sema you can fool some people in a certain period but you cannot fool all the people all the time
 
Wao na zito sisi na wananchi, ahsante Rab, ahsante Wanamakete, ahsante CHADEMA wote.
 
Sasa mkuu uliye tujuza maccm wana onekanaje usoni?Tatizo wako bize na kumsaidia Zito mbaka mambo kungine yana haribika
 
KUWENI NA TAHADHARI hii itafanya CCM ihairishe chaguzi ndogo za madiwa zilizotangazwa hivi karibuni.
 
Wenyewe na Zito tu,ona Mwigulu alivyo umbuka anataka kununua madiwani wa Igunga kwa milion 45.Amekwama
 
Siku ya kufa kwa Nyani miti yote ina teleza,wamejenga matumaini na mpango wao na Zito wakifikiri watanzania wajinga.Wata kwisha kireja reja hivi hivi
 
Sahivi CCM limekuwa tambara boovu na Zito kageuzwa dekio lao kutwa wanamtumia kufutia mavumbi yanayorushwa kwao na CDM
 
Back
Top Bottom