CCM chaelekea kuwa chama cha upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM chaelekea kuwa chama cha upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Helper, Apr 2, 2012.

 1. Helper

  Helper JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Satute kwenu wakuu, kwa tathmini ndogo niliyofanya baada ya uchaguzi mdogo uliyofanyika jana wa madiwani katika kata takrbani sita na ccm kuambulia kata mbili nidhahiri kuwa chama hiki kimekuwa chama cha upinzani huku chama cha CDM Kikiendelea kuwa chama tawala ktk mioyo ya Watanzania walio wengi
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2014
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Maumivu ya kichwa huaanza poole poole ...
   
 3. R

  Rohongumu JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2014
  Joined: Aug 7, 2013
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ameen nawatakia watanzania wenzangu tuzinduke 2015 tupige zaidi.
   
Loading...