CCM/Chadema tofauti za kiitikadi ni majukwani, misibani kitu kimoja

Hiyo huwezi kuita breking news. wewe ulitaka watu wasome tu hukua na jipya.kushikiana kwenye misiba kwa Tanzania ni jambo la kawaida kabisa.kidoogo zamani Zanzibar lakini kwa sasa wamejirekebisha.

Kazi ya uandishi na uhariri ni sanaa. Kuna mbinu nyingi za kufikisha ujumbe kwa audience. Usisome tu kichwa cha habari na kidokezo cha habari, unatakiwa ufuatilie mtoa mada ametoa kauli gani juu ya tuko hilo na hapo unaweza kuwa na kauli yenye kulenga falsafa ya mwandishi, vinginevyo umechukulia kidokezo kama ndiyo maudhui ya habari. Habari kamili au ujumbe kamili hueleweka baada ya kusoma body ya habari nzima maana siku hizi kuna aina nyingi za uandishi, kwani usitegemee muhtasari mwanzoni mwa habari jambo ambalo ni la zamani kwani msomaji hatakuwa na haja ya kumalizia habari kwa vile ameshajua unaongelea nini.

Moja ya kauli ya mtoa mada ni hii ifuatayo:

Ni jambo ambalo linaonyesha mfumo wa tofauti za kiitikadi nchini unazidi kukomaa, kwani mambo ya majukwani yanaishia huko na tukisha kuwa katika tuko lingine tofauti za kiitikadi zinawekwa kando na kuwa familia moja kadiri ya mila na destuzi za utamaduni wa kiafrika.
Je, kwa kauli hiyo umemwelewaje mtoa mada?
 
Mtoa mada anataka kupata comments maana anajia akiandika vingine wachangiaji watakuwa wachache au labda hajua maana ya breaking new
 
Back
Top Bottom