Ccm, chadema ikifa si ndio faida kwenu iweje leo mtake wapatane???

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
870
1.CCM CHADEMA IKIFA SI NDIO FAIDA KWENU IWEJE LEO MTAKE WAPATANE???
2. KAMA ZITTO KAONEWA NA CHADEMA NI CHAMA KIKABILA NA KIDINI MCHUKUENI ZITTO MMPE UNYEKITI HUKO CCM, AU ACHUKUE NAFASI YA NAPE AU KINANA.
3. KAMA ZITTO ANAONEWA MWAMBIENI AJIUNGE NA WAKINA KAFULILA NA HAMADI RASHID WAUNDE CHAMA KINGINE ZAIDI YA ADC NA CHAUMA..

MAANA CHADEMA WAMEWAACHA DR.KITILA NA ZITTO KWA SABABU HAWANA UMUHIMU CHADEMA SASA KAMA KWENU MNAWAHITAJI WACHUKUENI;



MASSIEMU MJIBUNI MDAU HUYU KAULIZA HIZI KESI ZIMEISHIA WAPI??
Eistein

Today 00:00
#1

JF Senior Expert MemberArray


Join Date : 24th November 2011
Posts : 284
Rep Power : 462
Likes Received93
Likes Given84


icon1.png
Serikali ya ccm ni nini kinaendelea juu ya haya matukio ya kinyama??/


Ndugu zangu

Nimeona leo niulize hilo swali hapo juu,kwa sababu sasa ni zaidi ya wiki/miezi/miaka mingi imepita tangu kutokea kwa matukio ya umwagaji damu, vifo, na ukosefu wa amani katika maeneo mbalimbali nchini.. na punde matokeo hayo yalipotokea viongozi walikuja katika media na kutoa matamko makali sana na kuahidi kuwashughuikia wote waliofanya hayo matukio na watafikishwa mbele ya vyombo vya sheria haraka sana.

Lakini mpaka sasa mimi binasfi sijui ni nini kinaendelea.. mwenye kujua haya masuala yamefikia wapi awajuze wanajukwaa kwa sababu watu hawa tuliowapa dhamana ya kutulinda wanalipwa mishahara na maslahi mengine kutoka kwenye kodi zetu..na wakati walipopewa dhamani za kazi hizo waliapa kuwatumikia watanzania na kuwalinda na mali zao.. Sasa inakuwaje hawatekelezi viapo vyao.. matukio mengine yanamiaka sasa..??

BAADH YA MATUKIO HAYO NI



1. WALIOMTOA UHAI DR MVUNGI WAMEKAMTWA WANGAPI NA WAMEFIKISHWA MAHAKAMA GANI??

2. WALIO MPIGA RISASI SHEKHE PONDA WAMEKATWA WANGAPI NA WAMEFIKISHWA MAHAKAMA GANI?

3. WALIO WAMWAGIA TINDIKALI MABINTI WAWILI ZANZIBAR WAMEKATWA NA WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI??

4. WALIOMUUA MWANDISHI WA HABARI MWANGOSI WAMEKAMWATWA WANGAPI NA KESI INAENDELEAJE?/

5. WALIOLIPUA MABOMU MKUTANO WA CHADEMA SOWETO-ARUSHA WAMEKATWA WANGAPI?? KESI IMEFIKIA WAPI??

6. WALIOTILIISHA MAJI MACHAFU TOKA MGODI WA NORTH MARA KULEKEA MTO TIGITE (MARA) NA KUSABABISHA MIFUGO ISYOPUNGUA 200 KUFA NA KUDHURIKA KWA BINAADAMU WAMEKAMATWA WANGAPI??

7. WALIOMUUA ALLY ZONA (MOROGORO) WAMEKATWA??

8. WALIOFANYA MATUKIO YA KUMWAGIA TINDIKALI SHEKHE NA PADRI (MAUJI) ZANZIBAR WAMEKATWA WANGAPI??

9. WALIOLIPUA BOMU KANISANI OLASITI-ARUSHA WAMEKATWA WANGAPI?? NA KESI INAENDELEAJE???

........
.......
LEO NI ZAIDI YA MIEZI KADHAA IMEPITA NA VIKOSI KAZI VIMEUNDWA MBONA SIJASIKIA RIPOTI YOYOTE?? HAYA YATATOKEA HADI LINI NDUGU ZANGU....??

JE KUNA HAJA YA KUENDELEA KUWACHEKEA WATU HAWA WALIOSHINDWA KUSIMAMIA VIAPO VYAO WANAOLIPWA BURE BILA KUWAJIBIKA ??/
BURNED 1.jpg View attachment 124374 View attachment 124375View attachment 124376 View attachment 124378




View attachment 124380




View attachment 124381View attachment 124381View attachment 124382
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom