CCM Bunda wamkataa mkuu wa wilaya, wamemuomba Rais Magufuli amuhamishie wilaya nyingine

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,902
141,844
Lydia Bupilipili ambaye ni DC wa wilaya ya Bunda amekataliwa na wanaccm wenzake kutokana na kushindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwa chama na madiwani wa majimbo yote mawili ya wilaya hiyo.

Aidha mkutano wa CCM wilaya umemuomba Rais Magufuli kumuondoa haraka bi Lydia wilayani humo na amuhamishie wilaya nyingine.

Naye mh Lydia alipohojiwa alisema yeye ni CCM kindakindaki na anawashangaa wajumbe kumhukumu bila ya kumpa fursa ya kujitetea.

Chanzo: Star tv habari!
 
Lydia Bupilipili ambaye ni DC wa wilaya ya Bunda amekataliwa na wanaccm wenzake kutokana na kushindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwa chama na madiwani wa majimbo yote mawili ya wilaya hiyo. Aidha mkutano wa CCM wilaya umemuomba Rais Magufuli kumuondoa haraka bi Lydia wilayani humo na amuhamishie wilaya nyingine. Naye mh Lydia alipohojiwa alisema yeye ni CCM kindakindaki na anawashangaa wajumbe kumhukumu bila ya kumpa fursa ya kujitetea.Source Star tv habari!

Hahaha, kwani yeye ni mweupe, cheupe dawa! Si unajua msukuma analipa ng'ombe wengi kwa demu mweupe. Huyo DC kama ni mkaa mweusi tii atabaki hapohapo kwenu. Mkitaka mtandikeni mawe na mkulu wala hatashituka. Chombo ni uweupe. Uliza "Wazo hill" weye buana!.
 
nitashngaa ikiwa hataondolewa maana huyu hajawahi kutoa oda ya kumsweka ndani Ester
 
Lydia Bupilipili ambaye ni DC wa wilaya ya Bunda amekataliwa na wanaccm wenzake kutokana na kushindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwa chama na madiwani wa majimbo yote mawili ya wilaya hiyo.

Aidha mkutano wa CCM wilaya umemuomba Rais Magufuli kumuondoa haraka bi Lydia wilayani humo na amuhamishie wilaya nyingine.

Naye mh Lydia alipohojiwa alisema yeye ni CCM kindakindaki na anawashangaa wajumbe kumhukumu bila ya kumpa fursa ya kujitetea.

Chanzo: Star tv habari!
Wassira Work hiyo, anataka mkuu wa wilaya atakaemfanyia kazi ya kumrudishia jimbo.
Siasa za bunda ni ni za kipundapunda ivi!
 
Atakuwa aliyakatalia yalipomwomba amweke ndani Esther Bulaya!! CCM ni mataahira kuanzia chini mpaka juu!!
 
Back
Top Bottom