Uchaguzi 2020 CCM Bukoba Mjini huyu Kamala Kalumuna mliyempitisha mnadhani sisi watu wa Bukoba hatujitambui! Subirini dawa...

Waziba wabaguzi na wanajisikia sana. Wanawanyanyapaa Wanyambo Wahaya wengine. Wanajiona Kagera ndio yao.
Hawa jamaa WAZIBA ndio wanaoharibu "image" nzima ya wahaya hadi kuonekana wahaya ni watu wa hovyo! Waziba wabaguzi hadi ile sera ya apartheid nadhani Afrika Kusini walikopi kutoka Buyango....ila Mungu ni wa ajabu sana, pigo la UKIMWI liliwasambaratisha sana kiasi kwamba sasa hivi Buyango wamejaa Wasubi na Warundi!
 
Mmakonde na Mmawia siyo sawa! Mziba ndio original, tena wa Kanyigo. Msinipige mawe, naaema nilichoambiwa
Sawa lakini si mambo ya kuendekeza maana ni hatari.

Watu wetu ni wepesi sana ukiwasisimua tu wanalipuka kama moto wa petroli...hata Watusi na Wahutu ni lugha moja lakini waliposisimuliwa tuliuona mziki wake.
 
Hawa jamaa WAZIBA ndio wanaoharibu "image" nzima ya wahaya hadi kuonekana wahaya ni watu wa hovyo! Waziba wabaguzi hadi ile sera ya apartheid nadhani Afrika Kusini walikopi kutoka Buyango....ila Mungu ni wa ajabu sana, pigo la UKIMWI liliwasambaratisha sana kiasi kwamba sasa hivi Buyango wamejaa Wasubi na Warundi!
Kuna mzee mmoja Mwanza duh alikuwa Mziba alikuwa na sebule mbili, moja ya watu nadhifu na wenye pesa,nyingine ya makapuku. Ila kama unavyosema bahati mbaya moto ulimpitia.
 
Aisee ukikumbuka ule moto ilikuwa ni hatari sana

Back
Top Bottom