CCM bila support ya Habari Cooperation itakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM bila support ya Habari Cooperation itakuwaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sir R, Jul 20, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Magazeti ya Mtanzania, Rai na mengine yote yanayomilikiwa na Rostam, sasa yanaonekana yako kinyume kabisa na CCM tangu suala la magamba lilipoanza.

  CCM sasa imebaki na vyombo vya habari vya serikali na CCM ambayo hayasomwe sana. Vyombo vingine huandika uhalisia wa CCM kuwa ni chama kinachoelekea kubaya ikilinganishwa na vyama vya upinzani kama CDM na Cuf. CCM ni chama kilichojaa juu.

  Sielewi hali ya CCM itakuwaje mbele ya safari hasa kampeni ya 2015 bila vyombo hivyo kwani kabla ya hapo vyombo vya rostam vilifanya kazi kubwa ya kuitangaza CCM na kuviponda vyama vya upinzani kwa upande mwingine hasa CDM.

  Nawasilisha.
   
 2. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tusubiri ingawa CCM ina The DailyNews, Habari Leo, Uhuru, Mzalendo na The Sunday News suala ni kutulazimisha kuyanunua
   
 3. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Hope ulikuwa unamaanisha Habari corporation na si Habari cooperation ...


  ​Btw......Siku hizi inaitwa New Habari Corporation na wameanza kuwa against na CCM tangu tarehe 11,April 2011
   
 4. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  Bado wa redio ya Clouds
   
Loading...