CCM bila dola hawawezi kushinda jimbo

Noel Shao

Member
Jan 19, 2017
89
185
Leo nilihudhuria uzinduzi wa kampeni za Chadema, nilicho ngamua kwa darubini zangu ni kuwa CCM walisha poteza "political legitimacy" Hawana hoja tena ya kuwaeleza wananchi.
Billion 14 za kugharamia uchaguzi huu kwa hali ya kawaida, ni kwa hasara kwa wananchi na watanzania wote, wa Majimbo husika na wasio husika. Pesa za walipa kodi zinateketezwa kwa ubinafs wa CCM.

Billion 14 zingeweza kutumika kujengea vyumba vya madarasa visivyo pungua 14,. Chumba kimoja cha Darasa cha hali ya kuridhisha hujengwa kwa tsh. Million 9-10!

Mashine ya CT Scan huuzwa kwa dola km million 850 ambazo ni takribani billion 1. 8 za kitanzania. Kwa billion 14 tungeweza nunua CT scan zisizo pungua 6. Na tungeondokana na foleni ya kutegemea CT scan moja ya Muhimbili.

Billion 14 zingeweza kununua Ambulance /magari ya kubebea wagonjwa, zaid ya 20 ambapo Ambulance moja huuzwa kwa dola laki 1.5 ambazo ni takribani million 300 za kitanzania.
Billion 14 zingeweza kuelekezwa kurusha matangazo ya bunge live, Pesa hiyo zingeweza elekezwa katka miradi mbalimbali ya maendeleo katika Majimbo husika. Ila ubinafs na unafiki wa CCM, ndio unatufikisha hapa. Taifa linaingia hasara kwa sababu za hovyo.

Wananchi wanajua hayo yote, wanajua CCM haipaswi kuwa madarakani, haina ushawishi tena mbele ya umma, nk. Na hapo ndipo ninapo sema wamepoteza "Political legitimacy"

Walicho baki nacho CCM ni "legal legitimacy " huko ndani ndipo utakapo kutana na mbeleko ya polis. Hoja kwa hoja, CCM haiwawezi Chadema, hawezi kucheza Glory Game, Hawakubaliki, "kampa kampa tena" CCM watakimbilia polis, na watakacho kifanya ni kuomba "mbeleko"

Leo sikushangaa kuona polisi wakiwa na video camera wakichukua live mkutano wa Chadema. Kwa jicho la kidarubini, ni kuwa baada ya kuwa wanapigwa kesi nyingi mahakamani, sasa wanatafuta vielelezo vya video. Katika historia ya ujio wa vyama vingi, sikuwahi ona polisi wanafanya kazi za kuchukua matukio ya jukwaa kuu kutoka upinzani. Au labda ni kwa sababu za kiusalma. Inatia shaka.

Rai yangu, napenda kuona siku moja CCM inashindwa na kufa. Wale mabingwa wa hojaji wananielewa. Wale wengine walio na utapia mlo, mabingwa wa kupalilia ujinga, na wanao saidia kukoleza giza hawa hawatanilewa,. Ni maskini wa hojaji, bado ni wafu kifikra, ni vipofu ingali wana macho.

Ndimi, Noel Shao [HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
 
Leo nilihudhuria uzinduzi wa kampeni za Chadema, nilicho ngamua kwa darubini zangu ni kuwa CCM walisha poteza "political legitimacy" Hawana hoja tena ya kuwaeleza wananchi.
Billion 14 za kugharamia uchaguzi huu kwa hali ya kawaida, ni kwa hasara kwa wananchi na watanzania wote, wa Majimbo husika na wasio husika. Pesa za walipa kodi zinateketezwa kwa ubinafs wa CCM.

Billion 14 zingeweza kutumika kujengea Vyuma vya madarasa visivyo pungua 14,. Chumba kimoja cha Darasa cha hali ya kuridhisha hujengwa kwa tsh. Million 9-10!

Mashine ya CT Scan huuzwa kwa dola km million 850 ambazo ni takribani billion 1. 8 za kitanzania. Kwa billion 14 tungeweza nunua CT scan zisizo pungua 6. Na tungeondokana na foleni ya kutegemea CT scan moja ya Muhimbili.

Billion 14 zingeweza kununua Ambulance /magari ya kubebea wagonjwa, zaid ya 20 ambapo Ambulance moja huuzwa kwa dola laki 1.5 ambazo ni takribani million 300 za kitanzania.
Billion 14 zingeweza kuelekezwa kurusha matangazo ya bunge live, Pesa hiyo zingeweza elekezwa katka miradi mbalimbali ya maendeleo katika Majimbo husika. Ila ubinafs na unafiki wa CCM, ndio unatufikisha hapa. Taifa linaingia hasara kwa sababu za hovyo.

Wananchi wanajua hayo yote, wanajua CCM haipaswi kuwa madarakani, haina ushawishi tena mbele ya umma, nk. Na hapo ndipo ninapo sema wamepoteza "Political legitimacy"

Walicho baki nacho CCM ni "legal legitimacy " huko ndani ndipo utakapo kutana na mbeleko ya polis. Hoja kwa hoja, CCM haiwawezi Chadema, hawezi kucheza Glory Game, Hawakubaliki, "kampa kampa tena" CCM watakimbilia polis, na watakacho kifanya ni kuomba "mbeleko"

Leo sikushangaa kuona polisi wakiwa na video camera wakichukua live mkutano wa Chadema. Kwa jicho la kidarubini, ni kuwa baada ya kuwa wanapigwa kesi nyingi mahakamani, sasa wanatafuta vielelezo vya video. Katika historia ya ujio wa vyama vingi, sikuwahi ona polisi wanafanya kazi za kuchukua matukio ya jukwaa kuu kutoka upinzani. Au labda ni kwa sababu za kiusalma. Inatia shaka.

Rai yangu, napenda kuona siku moja CCM inashindwa na kufa. Wale mabingwa wa hojaji wananielewa. Wale wengine walio na utapia mlo, mabingwa wa kupalilia ujinga, na wanao saidia kukoleza giza hawa hawatanilewa,. Ni maskini wa hojaji, bado ni wafu kifikra, ni vipofu ingali wana macho.

Ndimi, Noel Shao [HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
Nyie poa mlishinda kwa dola?
 
88e79d95fd673293367fb7cb90fed2e8.jpg
 
Back
Top Bottom